Dira - Wananchi

1y ago
11 Views
3 Downloads
902.30 KB
131 Pages
Last View : 13d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Sutton Moon
Transcription

DIRATanzania yenye Muungano imara na Mazingira safi,salama na endelevu.DHIMAKuwa na ufanisi katika kuimarisha Muungano nakuongeza ushirikiano kwa masuala yasiyo yaMuungano na kuratibu usimamizi wa Mazingira ilikuboresha ustawi wa watanzania.MAJUKUMU YA OFISI YA MAKAMU WA RAISi.Kuratibu masuala ya Muungano;ii.Kuratibu ushirikiano kati ya Serikali yaJamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikaliya Mapinduzi ya Zanzibar katika masualayasiyo ya Muungano;iii.Kuandaa na kusimamia utekelezaji wa Sera naSheria ya Mazingira;iv.Kufuatilia na kuratibu shughuli za Baraza laTaifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira;v.Kusimamia na kuendeleza watumishi wa Ofisiya Makamu wa Rais; navi.Kuratibu na kusimamia shughuli za Idara auWakala zilizo chini ya Ofisi ya Makamu waRais.0

HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YAMAKAMU WA RAIS, WAKATI WAKUWASILISHA BUNGENI MAKADIRIOYA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHAKWA MWAKA WA FEDHA 2012/13Mhe. Samia Suluhu Hassan, (Mb.),Waziri wa Nchi, MuunganoMhe. Dkt. Terezya Luoga Huvisa, (Mb.),Waziri wa Nchi, MazingiraI. UTANGULIZI1. Mheshimiwa Spika, kwa kuzingatiataarifa iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Kamatiya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili naMazingira na ile iliyowasilishwa na Mwenyekitiwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba,Sheria na Utawala, naomba kutoa hoja kwamba,Bunge lako Tukufu sasa likubali kupokea,kujadili na kupitisha Makadirio ya Mapato naMatumizi ya fedha ya Ofisi ya Makamu wa Raiskwa mwaka wa fedha 2012/13.2. Mheshimiwa Spika, awali ya yotenaomba nitumie fursa hii, kutoa shukrani zanguza dhati, kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya MrishoKikwete, kwa kutupa tena dhamana ya1

kusimamia Masuala ya Muungano na Hifadhi yaMazingira, katika Ofisi ya Makamu wa Rais. Vilevile, napenda kutoa shukrani za pekee kwaMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania,MheshimiwaDkt.MohammedGharib Bilal, kwa uongozi wake thabiti, namaelekezoanayotupakatikakusimamiautekelezaji wa majukumu ya kuratibu masualaya Muungano na uhifadhi mazingira. Tunaahidikuendelea kutumia kikamilifu fursa zotezilizopo, katika kutekeleza Ilani ya Uchaguzi yaChama Cha Mapinduzi ili kufikia malengoyaliyowekwa.3. Mheshimiwa Spika, nami napendakuungana na wenzangu kuwapongeza Mawazirina Manaibu Waziri walioteuliwa na MheshimiwaRais kushika nyadhifa mbalimbali. Aidha,nawapongezaWaheshimiwaWabungewalioteuliwa kutuwakilisha kwenye Bunge laAfrika Mashariki.4. Mheshimiwa Spika, kwa masikitikomakubwa naungana na wabunge wenzangukutoa pole za dhati kwa ndugu, jamaa nawananchi kwa ujumla kwa vifo vya MheshimiwaRegia Estelatus Mtema, Mheshimiwa MussaKhamis Silima na Mheshimiwa JeremiaSolomon Sumari. Vifo vya waheshimiwawabunge hao ni pigo kubwa kwa Taifa letu.Tutawakumbuka kwa juhudi zao na tunaomba2

Mwenyezi Mungu azilaze roho zao mahali pemapeponi, Amina.5. Mheshimiwa Spika, naomba sasa kutumianafasi hii, kumpongeza Waziri wa Fedha,Mheshimiwa Dkt. William Augustao Mgimwa(Mb.) kwa kuwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali.Aidha, nampongeza Waziri Mkuu, MheshimiwaMizengo Kayanza Peter Pinda (Mb.) pamoja naMawaziri wote waliotangulia katika kuwasilishahotuba zao za bajeti ambao ni: Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu,Mheshimiwa Stephen Masatu Wassira, (Mb.);na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti yaUtumishi wa Umma, Mheshimiwa CelinaOmpeshiKombani(Mb.).Hotubazaozimefafanua kwa kina mwelekeo wa sera,mipango, mikakati, malengo na kazi za Serikalikwa mwaka wa fedha 2012/13.6. Mheshimiwa Spika, kwa namna yakipekee, napenda kuishukuru Kamati yaKudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria naUtawala, chini ya Mwenyekiti wake MheshimiwaPindi Hazara Chana (Mb.), Mbunge Viti Maalum- Mkoa wa Iringa, pamoja na Kamati ya Kudumuya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira chiniya Mwenyekiti wake Mheshimiwa James DaudiLembeli (Mb.), Mbunge wa Kahama, kwaushirikiano, maoni na ushauri uliojaa hekimawalioutoa katika kupitia na kuchambua taarifa3

mbalimbali za utekelezaji wa bajeti ya Ofisi namakadirio ya mapato na matumizi kwa mwakawa fedha 2012/13. Ninapenda kulihakikishiaBunge lako tukufu kuwa, Ofisi imezingatiaushauri na mapendekezo yaliyotolewa naKamati hizo.7. Mheshimiwa Spika, kwa dhati kabisa,nawashukuru Mheshimiwa Pauline PhilipoGekul (Mb.) na Mheshimiwa Susan AnselmJerome Lyimo (Mb.), waliokuwa wasemajiWakuu wa Kambi ya Upinzani, kuhusuMuungano na Mazingira, kwa ushirikiano namichango yao. Aidha, natumia nafasi hiikuwapongeza Mheshimiwa Tundu MughwaiAntiphasLissu(Mb.)naMheshimiwaMchungaji Peter Simon Msigwa (Mb.), kwakuteuliwa kuwa Wasemaji Wakuu wa Kambi yaUpinzani kuhusu Masuala ya Muungano naMazingira. Tunaahidi kuwapa ushirikiano katikakutekeleza majukumu yao.II.MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGONA BAJETI KWA MWAKA 2011/12 NAMALENGO YA MWAKA 2012/138. Mheshimiwa Spika, Ofisi ya Makamu waRais, katika mwaka wa fedha 2011/12imeendelea kutekeleza majukumu iliyokabidhiwaya kuratibu masuala ya Muungano na yasiyo yaMuungano, pamoja na usimamizi wa Mazingirahapa nchini. Ofisi imetekeleza majukumu hayo4

kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muunganowa Tanzania ya Mwaka 1977; Dira ya Taifa yaMaendeleo ya mwaka 2025; Mpango wa Taifa waMaendeleo wa Miaka Mitano wa mwaka2011/12 hadi 2015/16; Mkakati wa KukuzaUchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania(MKUKUTA II); Ilani ya Uchaguzi ya Chama ChaMapinduzi (CCM) ya Mwaka 2010 hadi 2015;Malengo ya Maendeleo ya Milenia; Sera ya Taifaya Mazingira ya mwaka 1997; na Sheria yaUsimamizi wa Mazingira Sura ya 191.9. Mheshimiwa Spika, baada ya kutoamaelezo hayo ya awali, naomba sasa niwasilishetaarifa ya utekelezaji kwa kipindi hicho namalengo ya mwaka 2012/13 katika Masuala yaMuungano na pia katika Hifadhi na Usimamiziwa Mazingira hapa nchini.A.MASUALA YA MUUNGANOUTEKELEZAJI WA MAELEKEZO YA ILANI YAUCHAGUZI YA CCM YA MWAKA 2010 HADI201510. Mheshimiwa Spika, Ibara 183 ya Ilanihiyo inaelekeza kuwa, ili kuimarisha sha fursa za kiuchumi miongoni mwawananchi wa kila upande, ili waone na kuaminikwamba Muungano wa Tanganyika na Zanzibar5

sio tu ni ngao madhubuti ya Umoja, Amani naMshikamanowao,balipianidarajalisilotetereka la kuwafikisha katika azma yao yakuondokana na umaskini na kuharakishamaendeleo yao na ya Taifa kwa jumla. Aidha,katika Ibara ya 184 Serikali inaelekezwakutekeleza mambo yafuatayo:(a)Kukamilisha ujenzi wa majengo na TaasisizaMuunganoambazozimeanzishwaTanzania Zanzibar;(b) Kuimarisha utendaji wa Kamati ya Pamojaya kutatua changamoto za Muungano kwakuandaa utaratibu madhubuti wa vikao vyaKamati na utekelezaji wa haraka wamaamuzi yanayofikiwa;(c) Kuboresha uchangiaji na mgawanyo wamapato ya Muungano;(d) Kuzifanyia mapitio na uboreshaji Sheria naKanuni za fedha zinazotawala ukusanyajiwa mapato chini ya Mamlaka ya MapatoTanzania - TRA na Bodi ya Mapato Zanzibar- ZRB upande wa Tanzania Zanzibar kwalengo la kukuza ufanisi katika ukusanyajiwa mapato hayo;(e) Kuboresha Sheria, Kanuni na taratibu zaajira ya watumishi katika Taasisi zaMuungano ili utumishi huo uwe na suramuafaka ya Muungano;(f) Kuimarisha utaratibu wa kuandaa nakutekeleza mikakati na mbinu za pamoja6

(g)zenye lengo la kuinua uchumi wa pandezote mbili za Muungano; naKuendeleza miradi ya pamoja ya kiuchumi,miundombinu na ya kijamii iliyoanzishwaikiwemo ya Tanzania Social Action Fund TASAF na Marine and Coastal EnvironmentManagement Project - MACEMP.11. Mheshimiwa Spika, katika mwaka wafedha 2011/12, Ofisi imeendelea kutekelezaIlani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 2015 katika masuala ya Muungano kamaifuatavyo:“Kukamilisha ujenzi wa majengo na Taasisiza Muungano ambazo zimeanzishwa TanzaniaZanzibar”12. Mheshimiwa Spika, katika kipindi hiki,Ofisi imehamasisha Wizara, Idara na Taasisi zaMuungano kujenga au kufungua Ofisi zaoTanzania Zanzibar. Ofisi ya Makamu wa Raisimekamilisha ujenzi wa Ofisi na Makazi yaMakamu wa Rais Tunguu - Zanzibar. Aidha,Tume ya Sayansi na Teknolojia - COSTECH naTume ya Nguvu za Atomiki - TAEC zimehamishiaOfisi zao kwa muda katika Jengo hilo. Vile vile,ujenzi wa Ofisi ya Makao Makuu ya Mamlaka yaUvuvi katika Ukanda wa Bahari Kuu Zanzibarumekamilika na ujenzi wa Ofisi ya Taasisi yaSayansi za Bahari iliyopo Buyu unaendelea.7

Taasisi ya kusimamia biashara za nje Tanzania,(TanTrade) imefungua Ofisi ya muda Zanzibar.Aidha, ujenzi wa Ofisi za uhamiaji makaomakuu Zanzibar uko katika hatua za mwisho zaukamilishaji.“Kuimarisha utendaji wa Kamati ya Pamojaya kutatua changamoto za Muungano kwakuandaa utaratibu madhubuti wa vikao vyaKamati na utekelezaji wa haraka wa maamuziyanayofikiwa”13. Mheshimiwa Spika, katika kuimarishautendaji wa Kamati ya Pamoja ya SMT na SMZya kutatua changamoto za Muungano, Ofisiimeandaa utaratibu wa kufanya vikao vya sekta.Lengo la vikao hivyo ni kuharakisha utekelezajiwa maamuzi ya Kamati hiyo. Kwa kipindi chamwaka 2011/12, Ofisi imeratibu vikao 7 kwasekta zenye hoja, Pamoja na vikao viwili (2) vyaSekretariati ya kamati hiyo. Hoja hizo zinahusuMasuala ya Fedha, Nishati ya Umeme, Usajili wavyombo vya moto na Mfuko wa Maendeleo yaJimbo. Katika kipindi hicho, kikao cha Kamatiya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muunganoya Tanzania - SMT na Serikali ya MapinduziZanzibar - SMZ kilifanyika tarehe 28 Januari,2012, Dar es Salaam. Hoja ya Mfuko waMaendeleo ya Jimbo na hoja ya ongezeko kubwala ankara za umeme kutoka Shirika la UmemeTanzania - TANESCO kwenda Shirika la Umeme8

Zanzibar – ZECO zimepatiwa ufumbuzikuondolewa kwenye orodha ya hoja.na“Kuboresha UchangiajiMapato ya Muungano”wanaMgawanyo14. Mheshimiwa Spika, Ofisi imeratibukikao cha Mawaziri wanaoshughulikia masualaya fedha wa SMT na SMZ kilichofanyika tarehe 6Oktoba, 2011. Kikao hicho kilijadili utekelezajiwa mapendekezo ya Tume ya Pamoja ya Fedhaya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusumgawanyo wa mapato na kuchangia gharama zaMuungano kwa Serikali zetu mbili. Kwa sasa,Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniaiko kwenye hatua za mwisho za kutoa maamuzikuhusu mapendekezo ya Tume ya Pamoja yaFedha.“Kuzifanyia mapitio na uboreshaji Sheria naKanuni za fedha zinazotawala ukusanyaji wamapato chini ya TRA na ZRB upande waTanzania Zanzibar kwa lengo la kukuzaufanisi katika ukusanyaji wa mapato hayo”15. Mheshimiwa Spika, Serikali zetu mbilizimekubaliana kuwa, yafanyike marekebisho yasheria za Kodi ya Mapato ya Ajira – (Pay As YouEarn – PAYE) na Kodi ya Mapato inayozuiwa(Withholding Tax) ili kodi hiyo itumike paleinapokusanywa. Mswada wa marekebisho yasheria hizo uwasilishwe kwenye Mkutano wa9

Nane wa Bunge. Aidha, imekubaliwa kuwa,marekebisho ya Sheria za usajili wa vyombo vyamoto yafanywe katika vikao vya Bunge naBaraza la wawakilishi kwa mwaka wa fedha2012/13.“Kuboresha Sheria, Kanuni na Taratibu zaAjira ya Watumishi katika Taasisi zaMuungano ili utumishi huo uwe na suramuafaka ya ki-Muungano”16. MheshimiwaSpika,Ofisikwakushirikiana na Ofisi ya Rais, Menejimenti yaUtumishi wa Umma imeratibu vikao vya Kamatiya kuboresha Sheria na Sera za utumishi katikaTaasisi za Muungano. Kutokana na mabadilikoyaliyotokea baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka2010 na kusababisha baadhi ya Wizara nawajumbe wa kamati iliyoundwa kubadilishwa aukuhamishwa, Kamati ya mawaziri imeundakamatinyingineambayoimeelekezwakukamilisha kazi ya kuainisha maeneo husika.“Kuimarisha utaratibu wa kuandaa nakutekeleza mikakati na mbinu za pamojazenye lengo la kuinua uchumi wa pande zotembili za Muungano”17. Mheshimiwa Spika, katika kuinuauchumi wa pande zote mbili za Muungano SMTna SMZ zimekubaliana kwa pamoja kutekelezamasuala ya Mkakati wa Kukuza Uchumi na10

Kuondoa Umaskini Tanzania - MKUKUTA naMkakati wa Kuondoa Umaskini Zanzibar MKUZA na kupeana taarifa kuanzia hatua zaawali, kushiriki kikamilifu katika majadiliano nawashirika wa maendeleo na kuainisha maeneoya vipaumbele. Rasimu ya mwongozo waushirikishwaji wa Serikali ya Mapinduzi yaZanzibar katika masuala yote ya wa katika mwongozo ni suala lautafutaji wa fedha za misaada au mikopo kutokanje ya nchi. Mwongozo wa vikao vya ushirikianobaina ya Wizara, Idara na Taasisi zisizo za SMTna SMZ umeandaliwa ili kuimarisha masuala yasera, utaalam na wataalam kwa pande mbili zaMuungano. Aidha, Ofisi imeratibu gawio laasilimia 4.5 la misaada ya kibajeti kwendaSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.“Kufuatilia utekelezaji wa miradi ya pamojaya kiuchumi, miundombinu na ya kijamiiiliyokwishaanzishwa ikiwemo ya TanzaniaSocial Action Fund (TASAF) na Marine andCoastal Environment Management Project(MACEMP)”18. Mheshimiwa Spika, Ofisi imefanyaufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi ya kiuchumina kijamii kupitia ziara zilizofanywa tarehe 21hadi 24 Februari 2012 na tarehe 12 hadi 16Machi, 2012 Tanzania Zanzibar. Miradi hiyo11

inafadhiliwa na Tanzania Social Action Fund –TASAF, Marine and Coastal EnvironmentManagementProgrammeMACEMP,Agricultural Sector Development Programme –ASDP na Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo. Miradiyote iliyotembelewa imeonyesha kutekelezwavizuri na kuwafaidisha wananchi kwa kiwangokikubwa.UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI KWAMWAKA 2011/12 NA MALENGO YA MWAKA2012/1319. Mheshimiwa Spika, katika mwaka wafedha 2011/12, Ofisi iliendelea kutekelezamajukumu yake ya msingi ya kufuatiliautekelezaji wa kila siku wa mambo yaMuungano na yasiyo ya Muungano ilikudumisha Muungano na ushirikiano waSerikali zote mbili. Kwa mwaka wa ondoa Vikwazo katikaMasuala ya MuunganoUtekelezajiwa20. Mheshimiwa Spika, kikao cha Kamatiya Pamoja ya SMT na SMZ kilifanyika tarehe 28Januari, 2012, Dar es Salaam kwa madhumuniyakujadilinakutafutaufumbuziwachangamoto katika utekelezaji wa masuala ya12

Muungano. Kikao hiki kilitanguliwa na vikaoviwili (2) vya Sekretarieti ya Kamati ya PamojaSMT na SMZ vilivyofanyika tarehe 20 Desemba,2011 na 17 Januari, 2012. Hoja 13 zilijadiliwakatika kikao hicho na kati ya hizo, hoja mbili (2)zilipatiwa ufumbuzi na zilizobaki ziko katikahatua mbalimbali za kushughulikiwa. Hojazilizopatiwa ufumbuzi ni:Ongezeko la gharama zaTANESCO kwenda ZECO’umeme kutoka21. Mheshimiwa Spika, kulikuwa na hojakutoka SMZ kwamba Mamlaka ya Udhibiti waHuduma za Nishati na Maji – EWURAilipandisha bei za umeme kwa wateja wa Shirikala Umeme Tanzania - TANESCO likiwemoShirika la Umeme Zanzibar - ZECO mweziJanuari, 2008. Upandishwaji huo ulikuwa naongezeko la wastani wa asilimia 21.7 kwa watejawaliopo Tanzania Bara na kwa upande waZanzibar bei ya umeme ilipandishwa kwaasilimia 168. Baada ya majadiliano katika Kikaocha Mawaziri wa Sekta ya Nishati kilichofanyikatarehe 27 Januari, 2012 hoja hii ilipatiwaufumbuzi kwa kushusha gharama za umemekwenda ZECO. Hivyo, hoja hii imeondolewakwenye orodha ya changamoto za Muungano.13

Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo wa SMT22. Mheshimiwa Spika, kulikuwa na hojakwamba Mfuko wa Maendeleo ya Jimboumuhusishe mjumbe wa Baraza la Wawakilishikama mjumbe wa kudumu katika Kamati yaMfuko huo ili kuweza kujua matumizi ya fedhaza mipango ya maendeleo ya Jimbo. Wawakilishiwa viti maalum kutoka katika Baraza laWawakilishi pia washirikishwe katika kupangamatumizi ya fedha za Mfuko wa Jimbo. Hoja hiiilijadiliwa katika ngazi za wataalamu kwakupitia Sheria ya Mfuko wa Maendeleo ya Jimboya SMT kwa lengo la kuangalia uwezekano wakurekebisha sheria hiyo. Hata hivyo, hoja hiiimeondolewa katika Orodha ya changamoto zaMuungano baada ya SMZ kuanzisha sheria yakeya Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo.23. Mheshimiwa Spika, hoja nyingineambazo ziko katika hatua za kutafutiwaufumbuzi ni pamoja na:- Ushiriki wa Zanzibarkatika Taasisi za Nje; Utafutaji na Uchimbaji waMafuta na Gesi Asili; Ajira kwa Watumishi waZanzibar katika Taasisi za Muungano; Hisa zaSMZ zilizokuwa katika Bodi ya Sarafu ya AfrikaMashariki; marekebisho ya Sheria ya usajili wavyombo vya moto, Kodi ya mapato inayozuiwana Kodi ya Mapato ya Ajira-PAYE; naMalalamiko ya Wafanyabiashara wa Zanzibarkutozwa kodi mara mbili.14

Kutoa Elimu kwa Umma24. Mheshimiwa Spika, Ofisi imetoa elimukwa Umma kuhusu masuala ya Muungano kwakutekeleza yafuatayo:(a) Ofisi iliandaa na kusambaza nakala 8,000za Jarida la Muungano Wetu; nakala 9,000za vipeperushi; nakala 2,000 za kitabu chamiaka 50 ya Uhuru; na nakala 460 zakitabu cha Historia ya Muungano katikapicha.(b) Ofisi ilishiriki na kutoa elimu kwa UmmakatikamaoneshoyaNaneNaneyaliyofanyika Mjini Dodoma tarehe 1 hadi 8Agosti, 2011 na maadhimisho ya miaka 50ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyikakatika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere Dar esSalaam tarehe 1 hadi 12 Desemba, 2011 naMaadhimisho ya Siku ya Mazingira Dunianiyaliyofanyika Mkoani Kilimanjaro mapemamwezi Juni 2012; na(c) Elimu ya Muungano ilitolewa kwa ummakupitia vipindi vya Redio na Televishenivilivyorushwa hewani kupitia TBC1, ITV,Radio Free Africa na Redio Clouds FMpamoja na taarifa maalum ya miaka 48 yaMuungano iliyochapishwa katika magazeti.Kuratibu masuala ya kiuchumi, kijamii nakisheria25. Mheshimiwa Spika, Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano alifanya15

ziara kwenye Taasisi zilizopo Dar es Salaamtarehe 18 hadi 20 Oktoba, 2011, tarehe 21 hadi24 Februari, 2012, na tarehe 12 - 16 Machi,2012 alitembelea taasisi na Miradi iliyokoZanzibar. Taasisi zilizotembelewa ni Mamlaka yaMapato Tanzania - TRA, Tume ya Pamoja yaFedha - JFC, Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA, Shirika la Maendeleo ya Petroli - TPDC,Mamlaka ya Uvuvi wa Bahari Kuu, Idara yaUhamiaji Zanzibar na Taasisi ya Sayansi zaBahari. Lengo la ziara hizo lilikuwa ni kufanyaufuatiliaji katika Taasisi za Muungano nakuangalia utekelezaji wa shughuli za Muunganokwa pande zote mbili.26. Mheshimiwa Spika, Ofisi imefanyaufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi ya kiuchumina kijamii Zanzibar inayotekelezwa chini yaufadhili wa miradi ambayo fedha zakezinapatikana kupitia SMT. Miradi hiyo niTASAF, MACEMP, ASDP, ASSP na ASSPL.Miradi hii imefanikiwa kuleta maendeleo kwawananchi kwa kuondoa kero za huduma zajamii mfano; ujenzi wa shule, visima vya maji,ujenzi wa mabwawa ya kufugia samaki nauzalishaji wa chumvi, zahanati,ufugaji wa nyukina kilimo cha umwagiliaji. Aidha, miradi hiiimewaongezea wananchi kipato; kuwajengeauwezo wa kusimamia, kutekeleza na kuendelezamiradi yao; elimu ya msingi ya ujasiriamali,elimu ya kuweka na kuwekeza, imetoa ajira za16

muda kwa wananchi na kuongeza ari yakujitolea kwa wananchi katika kutekelezamiradi ya maendeleo.27. Mheshimiwa Spika, Ofisi imeendeleakuratibu gawio la asilimia 4.5 la misaada yawahisani na mikopo ya kibajeti. Hadi kufikiatarehe 15 Juni, 2012 SMZ imepokea shilingi32,466,000,000/ badalayashilingi30,423,054,500/ zilizoidhinishwa na Bungemwaka 2011/12 sawa na asilimia 106.Ongezeko hili limetokana na kuongezeka kwamisaada na mikopo ya kibajeti. Fedha hizi zagawio kwa SMZ hutumika kwa kuzingatiavipaumbele vya Serikali ya Mapinduzi yaZanzibar kwa mwaka husika.28. Mheshimiwa Spika, Ofisi pia imeratibuupelekaji wa fedha za Mfuko wa Maendeleo yaJimbo kwa upande wa Zanzibar. Hadi / kwa ajili ya Mikoa ya Ungujana Pemba. Fedha hizo zimepelekwa Ofisi yaRais, Fedha, Uchumi na Mipango ya Maendeleoya SMZ kwa ajili ya majimbo husika. Aidha,Ofisi ilitembelea baadhi ya Majimbo na kujioneajinsi fedha za maendeleo ya jimbo kwa upandewa Zanzibar zilivyonufaisha wananchi wamajimbo hayo. Baadhi ya miradi iliyotembelewani pamoja na ujenzi wa vyumba vya madarasaya skuli ya msingi ya Simai – Wingwi na skuli ya17

sekondari ya Mtambile; usambazaji wa umemekatika eneo la Michenzani katika Jimbo laMkanyageni na uimarishaji wa jengo la chinjioWete; ununuzi wa vifaa vya ufundi katika shuleya ufundi ya Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU);Uchimbaji na ujenzi wa kisima cha maji MtoniMazrui; na Mradi wa Barabara ya Chukwaniyenye urefu wa takribani kilomita tatu (3) .UshirikianoMuunganokatikamasualayasiyoya29. Mheshimiwa Spika, Ofisi imeratibuushirikiano wa Serikali ya Jamhuri yaMuungano wa Tanzania na Serikali yaMapinduzi ya Zanzibar kwa masuala yasiyo yaMuungano. Ushirikiano huu ni katika maeneoyakubadilishanauzoefu,Sera,Sheria,utaalamu na wataalamu kati ya Serikali mbili;kuimarisha ushirikiano wa kiutendaji na ziaraza kikazi za mara kwa mara kati ya sektazinazofanya shughuli zinazoshabihiana pamojana kujadili kuhusu changamoto zinazojitokezakatika utekelezaji wa masuala ya Muungano.30. Mheshimiwa Spika, katika mwaka wafedha 2011/12, mwongozo wa vikao vyaushirikiano kati ya Wizara, Idara na Taasisizisizo za Muungano za SMT na SMZ uliandaliwa,kuchapishwa na kusambazwa kwa Wizara naSekta zote za SMT na SMZ. Mwongozo huu18

unaziwezeshaTaasisihusikakuratibukikamilifu vikao vya ushirikiano katika ngazi zaMawaziri, Makatibu Wakuu na Wataalam ilikuhakikisha utekelezaji wa mikakati namipango iliyokusudiwa inafanikiwa. Aidha, kwamwaka wa fedha 2011/12, Ofisi imeratibu vikao10 vya kisekta.31. Mheshimiwa Spika, Sekta za Maji zapande mbili za Muungano zilikutana tarehe 28Februari, 2012. Lengo la kikao hicho lilikuwa nikujadili na kuridhia mapendekezo ya MpangoKazi wa Ushirikiano wa Sekta ya Maji kati yaSMT na SMZ uliohusisha maeneo 9 ambayo niUkusanyaji, utunzaji na usambazaji wa taarifakwa kutumia Mfumo Pepe (MIS); Mfumo wakusimamia ubora wa maji; Uboreshaji wahuduma za maji mijini na vijijini; Kufanya tafitimbalimbali za vyanzo vya maji pamoja naTeknolojia zinazotumika katika Sekta ya Maji;Mfumo wa kukusanya, kuhifadhi na kusambazatakwimu za rasilimali za maji; Uvunaji wa majiya mvua; Kubadilishana taarifa mbalimbali zaSekta ya Maji (Sera, Mikakati, Sheria, Mapitio yaSekta n.k); na Ufuatiliaji na Tathmini.32. Mheshimiwa Spika, Taasisi ya Kuzuiana Kupambana Rushwa (TAKUKURU) chini yaOfisi ya Rais (SMT) na Wizara ya Nchi, Ofisi yaRais, Utumishi na Utawala Bora (SMZ)zilikutana tarehe 15 Oktoba, 2011, tarehe 319

Novemba, 2011 na tarehe 19 Novemba 2011.Vikao hivyo vilijadili maeneo ya kuanzishwa Zanzibar. Mapendekezo ya maeneoya ushirikiano ni pamoja na; uandaaji nauwasilishaji taarifa katika ngazi za Kikanda naKimataifa; Uchunguzi na ukusanyaji waushahidi kuhusu makosa ya rushwa ndani nanje ya Nchi; Ushirikiano wa kitaasisi kwa ngazizote za mafunzo, Utafutaji wa rasilimali fedhakwa ajili ya miradi, vikao vya pamoja; naUshirikiano katika kuandaa mikakati yakupambana na rushwa.33. Mheshimiwa Spika, Ofisi ya Makamuwa Rais – Mazingira (SMT) na Ofisi ya Makamuwa Kwanza wa Rais – Idara ya Mazingira (SMZ)zilikutana tarehe 29 Septemba, 2011. Kikaokilikuwa ni cha Mawaziri, Makatibu Wakuu naWataalamu wenye dhamana ya masuala yaMazingira SMT na SMZ. Lengo lilikuwa nikufahamiana, kubadilishana uzoefu pamoja nakuainisha maeneo ya ushirikiano katika sektaya Mazingira.34. Mheshimiwa Spika, Ofisi ya Makamuwa Rais (SMT) na Ofisi ya Makamu wa Pili waRais (SMZ) zenye dhamana ya kuratibu masualaya Muungano na yasiyo ya Muungano zilikutana20

mara mbili (2) tarehe 23 na 30 Novemba, 2011.Lengo la vikao hivyo lilikuwa ni kujadili namnaya kuboresha uratibu wa masuala yaMuungano.35. MheshimiwaSpika,WizarayaUchukuzi (SMT) na Wizara ya Miundombinu naMawasiliano (SMZ) zilikutana 24 na 25 Oktoba,2011. Lengo la kikao hicho lilikuwa nikujadiliana kuhusu huduma na usalama wausafiri kwa njia ya maji ikiwemo kufanyiamapitio sheria mbili zinazosimamia usafirimajini nchini Merchant Shipping Act ya mwaka2003 kwa upande wa SMT na MaritimeTransport Act ya 2006 kwa upande wa SMZ;Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu naMajini - SUMATRA na Mamlaka ya Usafiri kalaambazowamezikasimishamamlaka ya kutekeleza shughuli zao; kuongezautoaji wa elimu kwa umma kuhusu usalama wausafiri majini, anga na nchi kavu; pamoja nakuharakishwa kwa mchakato wa utungwaji washeria za shughuli za utafutaji na uokoajimajini.36. Mheshimiwa Spika, Ofisi ya WaziriMkuu - TAMISEMI na Ofisi ya Rais naMwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (SMZ)zilikutana tarehe 19 na 20 Desemba, 2011.Lengo la kikao hicho ilikuwa ni kubadilishana21

uzoefu kuhusu: Chaguzi za Serikali za MitaaSMT na SMZ, mafanikio na changamoto zake;Uendeshaji wa shule za msingi na sekondariTanzania Bara na Zanzibar, mafanikio nachangamoto zake pamoja na masuala ya usafikwa Majiji na Manispaa. Aidha, Wizara yaNishati na Madini (SMT) na Wizara ya Ardhi,Makaazi, Maji na Nishati (SMZ) zilikutana tarehe27 Januari, 2012. Lengo la kikao hicho ilikuwani kujadili deni la ZECO kwa TANESCO naongezeko la bei ya umeme kwa ZECO kutokaTANESCO. Vikao hivi vya kisekta vimeongezaushirikiano kati ya SMT na SMZ hivyokuimarisha Muungano. Hivyo natoa wito kwaSekta zote na taasisi kuendelea kukutana nakujadili masuala muhimu kwa uhai waMuungano wetu.Changamoto37. MheshimiwaSpika,pamojanamafanikio yaliyopatikana zipo changamotozilizojitokeza katika utekelezaji wa masuala yaMuungano. Changamoto hizo ni pamoja nauelewa mdogo wa masuala ya Muungano nautekelezaji wake hasa katika kipindi hiki chamchakato wa uundwaji wa Katiba Mpya. Aidha,mfumo tofauti wa Sheria kwa pande mbili zaMuungano, hukwamisha utekelezaji wa baadhiya maamuzi yanayofikiwa katika kutatuachangamoto za Muungano mfano katika22

masuala ya usajili wa magari. Hata hivyo,Serikali zetu zinashirikiana ili kuoanisha Sheriazinazokwamisha utekelezaji.Malengo ya Mwaka 2012/1338. MheshimiwaSpika,kwamwaka2012/13 Ofisi itatekeleza yafuatayo:(a) Kuratibu vikao vya Kamati ya Pamoja yaSMT na SMZ ya kushughulikia masuala yaMuungano;(b) Kuratibu masuala ya kiuchumi, kijamii nakisheria na mambo yanayohusiana naKatiba katika Muungano kwa faida yapande mbili za Muungano;(c) Kutoa elimu kwa umma kupitia redio naruninga, Jarida, makala za magazeti,vipeperushi na kushiriki katika maoneshoya kitaifa; na(d) Kuratibu masuala yasiyo ya Muungano kwakuhakikisha kwamba Sekta, Wizara naAsasi zisizo za Muungano zinakutanaangalau mara tatu kwa mwaka.B.HIFADHI YA MAZINGIRAUTEKELEZAJI WA MAELEKEZO YA ILANI YAUCHAGUZI YA CCM YA MWAKA 2010 HADI201539. Mheshimiwa Spika, katika masuala yaHifadhi ya Mazingira, Ilani ya Uchaguzi ya CCM23

ya mwaka 2010, Ibara 193 (uk.92-93)inaelekeza kuwa, Chama kitahakikisha kuwakazi iliyoanzwa ya Hifadhi ya Mazingira inakuwaendelevu. Aidha, katika Ibara hiyo Serikaliinaelekezwa kutekeleza mambo yafuatayo:(a) Kuimarisha zoezi la kitaifa la kupanda mitihususan miti ya asili kila mwaka katikamaeneo yaliyotengwa kwa ajili hiyo.Viongozi wa Vitongoji, Mitaa, Vijiji na Katawatakiwe kuikagua mara kwa mara mitiiliyopandwa ili kuhakikisha inakua. Aidha,miti ipandwe katika maeneo ya shule,barabara, zahanati za vijiji, Vituo vya Afyana makazi ya watu. Wakuu wa maeneohayo wahakikishe lengo la kupanda mitilinafanikiwa;(b) Serikali za Vijiji na Halmashauri za Wilayana Manispaa zitunge sheria ndogo zaHifadhi ya Misitu;(c) Kusimamia utekelezaji wa sheria ya hifadhiya mazingira katika vyanzo vya maji nakusimamia utekelezaji wa mkakati wa usafikatika fukwe;(d) Serikali ichukue hatua ya kuandaa sera nakutunga sheria itakayosimamia matumiziya nishati mbadala ili kupunguza uharibifuwa mazingira;(e) Kupunguza gharama ya vifaa vya nishatimbadala ili wananchi wanaojenga nyumbaza kisasa vijijini watumie nishati hiyobadala ya kuni na mkaa;24

(f)Kuhimiza na kuhamasisha ufugaji wakisasa vijijini ili uwe kichocheo cha hifadhiya mazingira;(g) Serikali iimarishe usimamizi wa viwanda nabiashara ili kutochafua mazingira;(h) Kutekeleza mradi wa vijiji vya mfano vyahifadhi ya mazingira (eco-villages);(i) Vipeperushi vyenye mafunzo rahisi yahifadhiyamazingiraviandaliwe,vichapishwe kwa wingi na vitumike kwenyemafunzo ya elimu yenye manufaa nchinikote; na(j) Kufanya tathmini ya athari za mazingirakatika miradi ya ujenzi.40. Mheshimiwa Spika, Ofisi imeendeleakutekeleza maelekezo ya Ilani ya Uchaguzi yaCCM ya mwaka 2010 kama ifuatavyo:“Kuimarisha zoezi la kitaifa la kupanda mitina miti ya asili kila mwaka katika maeneoyaliyotengwa kwa ajili hiyo. Viongozi waVitongoji, Mitaa, Vijiji na Kata watakiwekuikagua mara kwa mara miti iliyopandwa ilikuhakikisha inakua. Aidha, miti ipandwekatika maeneo ya shule, barabara, zahanatiza vijiji, Vituo vya Afya na makazi ya watu.Wakuu wa maeneo hayo wahakikishe lengo lakupanda miti linafanikiwa”.25

41. Mheshimiwa Spika, Ofisi ina jukumu lakuratibu na kufuatilia utekelezaji wa Kampeniya Upandaji Miti ikiwa ni utekelezaji wa Mkakatiwa Kuhifadhi Mazingira ya Ardhi na Vyanzo vyaMaji. Katika mwaka huu wa fedha, ofisiimeendelea kutekeleza jukumu hilo na kwamujibu wa taarifa ya kipindi cha mwaka wafedha 2010/11, jumla ya miti 180,793,223ilipandwa nchini kote na kati hiyo miti141,470,900 ilipona, sawa na asilimia 78.2 yamiti iliyopandwa. Wilaya 33 zimevuka lengo lakupanda miti 1,500,000 lililoainishwa kwenyeMkakati wa Kuhifadhi Mazingira ya Ardhi naVyanzo vya Maji (Rejea Kiambatisho Na. I).Kwa kipindi cha mwaka 2011/12 zoezi laupandaji miti bado linaendelea. Kwa mwaka2012/13, ofisi itaendelea kuratibu na kufuatiliautekelezaji wa kampeni hii.“Serikali za Vijiji na Halmashauri za Wilayana Manispaa zitunge sheria ndogo za Hifadhiya Misitu”42. Mheshimiwa Spika, katika kipindi chaMwaka 2011/12 Ofisi imeendelea na utekelezajiwa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira kwakushirikisha Halmashauri zaWilaya naManispaa. Aidha, katika kufanya hivyo Ofisiimehimiza Wilaya na Manispaa kutunga Sheriandogo za kuhifadhi vyanzo vya maji, misitu,tathimini ya mazingira na usafi wa mazingira.26

Baadhi ya Halmashauri tayari zimeandaa sheriandogo ndogo na zimeanza kutumika kwa mfano;Manispaa ya Moshi, Jiji la Mwanza, naHalmashauri ya Wilaya ya Njombe. Aidha,baadhi ya Vijiji vimeweka Sheria ndogo zahifadhi ya Mazingira.“Kusimamia utekelezaji wa sheria yahifadhi ya mazingira katika vyanzo vyamaji na kusimamia utekelezaji wa Mkakatiwa usafi katika fukwe”43. Mheshimiwa Spika, katika utekelezajiwa Sheria ya Hifadhi ya Mazingira kwenyevyanzo vya maji, kila wilaya inawajibika kutoataarifa kuhusu hali ya hifadhi ya vyanzo vyamaji. Kwa kutumia sheria hii Wilaya zimeanzakuainisha vyanzo vya maji. Kwa kutumia sheriahii, Wilaya zimeanza kuanisha vyanzo vya majina kutumia sheria ndogo za kuhifadhi vyanzohivyo, kwa mfano: Wilaya za Kondoa, Babati,Singida Vijijini, Iramba, B

kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977; Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2025; Mpango wa Taifa wa . /12 hadi 2015/16; Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKUKUTA II); Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Mwaka 2010 hadi 2015; Malengo ya Maendeleo ya Milenia; Sera ya Taifa

Related Documents:

Wananchi wengi wanavifahamu vyama vikuu vitatu nchini yaani Chama cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Wananchi (CUF) Wananchi wengi wangewachagua wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kama uchaguzi ungefanyika wakati wa mahojiano. Idadi ya wananchi ambao hawako karibu na chama chochote cha .

10. Mheshimiwa Spika, Katiba yetu, chini ya Kifungu cha 9, imeweka bayana kuwa mamlaka ya kuendesha nchi ni ya wananchi wenyewe. Kwamba nguvu na uwezo wa Serikali kufuatana na Katiba unatoka kwa wananchi wenyewe. Ni dhahiri kuwa, pamoja na kutoa ridhaa yao kwa Chama na viongozi wa kuwaongoza, wananchi ndio

ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015. Vilevile, maudhui ya Ilani hii yamezingatia Mwelekeo wa Sera za Chama Cha Mapinduzi wa 2020-2030, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 na Dira ya Maendeleo ya Zanzibar 2020-2050. Aidha, Ilani hii imezingatia fursa na changamoto

ya Elimu ya Watu Wazima, kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali, kwenye ofisi za serikali na hata na wananchi wa kawaida. Katika utayarishaji wa chapisho hili, watu wengi wametoa msaada wao kwetu. Ningependa kuchukua fursa hii kutoa shukrani zangu za dhati kwao nikitarajia kuwa kazi hi

CCM Chama Cha Mapinduzi CHADEMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo [Party for Democracy and Progress] CSO Civil Society Organisations EAC East African Community . UKAWA Umoja wa Katiba ya Wananchi [Coalition for the People's Constitution] US United States . 5 Preface

taratibu za uteuzi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM); Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Alliance for Change and Transparency (ACTWazalendo) na Chama cha Wananchi (CUF). . Ibara ya 76 ya Katiba ya Rwanda ina mchango mkubwa katika kuleta mgawanyo wa nafasi za uwakilishi kwa ajili ya wanawake. Rwanda inatupa

Ukawa Umoja wa Katiba ya Wananchi Tanzania UNDP United Nations Development Programme . On the other hand, the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) had, and still has, Uhuru and Mzalendo newspapers. There was no state-owned television station in . voters' education. towards 2015 general elections. .

Business Studies Notes Year 9 & 10 Chapter 1 The purpose of Business Activity A NEED is a good or service essential for living (food, water, shelter, education etc.). A WANT on the other hand is something we would like to have but is not essential for living (computer games, designer clothing, cars etc.). people’s wants are unlimited. The Economic Problem results from an unlimited amount of .