ˇ ˆ - Welcome Jesus Messiah Picturebook Media

3y ago
213 Views
3 Downloads
9.75 MB
68 Pages
Last View : 24d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Eli Jorgenson
Transcription

7H[W DQG LOOXVWUDWLRQV :LOOHP GH 9LQN (68 0 6,

NINI NI.Baraka:Baraka Ni vitu vyote vizuri ambavyo Mungu anataka kuwapa watuwale ambao wanafanya kila anachotaka.Biblia:Biblia Katika Biblia unawezakusoma jinsi Mungu anavyowaangalia watu na jinsi anavyohusikanao.Dhambi:Dhambi Mambo tuyafanyayokinyume na mapenzi ya Munguambayo hutuzuia sisi kufikiampango wa Mungu alio nao kwaajili yetu (ukurasa wa 4).Msamaha:Msamaha Mungu husamehe, ingawa hakuna mtu anayestahili. Munguhusamehe kama kweli wewe umetubu dhambi na unataka kubadilika.Msamaha unapatikana kwa sababuYesu alichukua adhabu zetu ambazosisi tulistahili (ukurasa wa 58).Mtume:Mtume Mfuasi wa Yesu (ukurasa wa18).Mwana wa Mungu:Mungu Jina la Yesu. NiMungu aliyekuja duniani kamamwanadamu, kama Mwana waMungu.Pasaka:Pasaka Ni sherehe ya kufufuka kwaYesu. Kwa asili yake, sherehe hiyoilikuwa sherehe ya kukumbukaukombozi wa Waisreali kutoka Misri.Sherehe hiyo iliitwa Pasaka pia(ukurasa wa 38-54).Imani:Imani Kumwamini Mungu kwaRoho Mtakatifu:Mtakatifu Roho wa Mungukile alichoahidi kukifanya (ukurasa ambaye anataka kuishi ndani yawa 58).wanaomfuata Yesu (ukurasa wa 58).Kurudi:Kurudi Kila kitu kitakuwa kipyawakati Yesu atakaporudi ulimwenguni. Mbingu na nchi zitabadilishwa na Mungu (ukurasa wa57).Malaika:Malaika Mjumbe wa Munguasiyeonekana (ukurasa wa 5).Shetani:Shetani Adui wa Mungu na wanadamu asiyeonekana. (Pia anajulikana kama Mwovu).Ufalme wa Mungu:Mungu Ufalme wa Mungu upo pale ambapo watu wanamtii.Ufufuo:Ufufuo Yesu alifufuka katika wafu.Siku moja watu wote watafufuliwaMaombi:Maombi Unaongea na Mungu,katika wafu. Kisha Mungukimya au kwa sauti na unamsikili- atamuhukumu kila mwanadamuza yeye (ukurasa wa 18, 19 na 42). (ukurasa wa 53-57).Masiha:Masiha Mfalme 'Mpakwa Mafuta'.Masiha (neno la Kiebrania) limetafsiriwa kwa Kigiriki kama Kristo(ukurasa wa 52 na 55).Msalaba:Msalaba Chombo cha mateso ambacho kilitumika kumsulubishaYesu kwa hiari yake mwenyewe.Imekuwa ni ishara kwa wafuasiwote wa Yesu (ukurasa wa 25 na50).Ushirika:Ushirika Wafuasi wa Yesu hukumbuka kifo chake na ufufuo kwa mkate na mvinyo (ukurasa wa 41).Uzima wa milele:milele Maisha na Yesukama Mungu alivyokusudia.Unashinda kifo na hakuna mwisho(ukurasa wa 23, 29-30 na 59).Yesu:Yesu Jina la Mwana wa Mungu,maana yake, 'Mungu anaokoa'.

YESU MASIHANI NANI?Yesu aliishi karibu miaka 2,000iliyopita katika Israeli. Tunamwita'Yesu Masiha' au 'Yesu Kristo'. Inamaana kuwa ni Mfalme. Si kwambaMfalme tu. Yesu aliitwa 'Mwana waMungu' na pia 'Mwana wa Watu'. Hiiina maana kwamba yeye ni Mungu namwanadamu. Historia ya maisha yaYesu imeelezewa ndani ya Biblia. Nihistoria kuu kila wakati.WAKATI WA YESUZama zetu zinaanza kwa kuzaliwakwa Yesu. Watu walisafiri kwa miguuau kwa punda, ngamia au juu ya farasi. Sehemu kubwa za Ulaya, Mashariki ya Kati, na Kaskazini mwa Afrika zilikuwa na dola ya Kirumi. Watuwengi hawakujua kusoma na kuandika, lakini Wayahudi katika Israeliwaliweza. Waliitwa 'watu wa Kitabu'.Mungu anaongea katika Kitabu, katika Biblia. Yeye ni Muumba wa kilakitu na anataka kuwa rafiki ya kilamtu. Yesu alionyesha hilo kwa uwazisana.

KAFARNAUMUBAHARI YAGALILAYANAZARETIYERUSALEMUISRAELI WAKATI WA YESUMji mkuu:mkuu YerusalemuMajimbo:Majimbo Galilaya, Samaria, Yudea.Ukubwa:Ukubwa kilometa za mraba 28,000 hivi.Tabia ya nchi (hali ya hewa): nusutropikiSiasa:Siasa Tangu mwaka 63 kabla ya KristoWaisreali walitawaliwa na Warumi.Serikali:Serikali Gavana wa Kirumi, Pontio Pilato,anatawala Israeli. Tiberio, kaisari wa Kirumi, alimtawala.Dini:Dini Uyahudi. Wayahudi walikuwa nahekalu Yerusalemu. Makuhani hufanyakila aina ya kazi ya dini na kuna walimu(kama vile Mafarisayo) ambao lazima huelekeza watu mafundisho ya Biblia.Lugha:Lugha Kiebrania (lugha ya Wayahudi),Kigiriki (lugha ya kimataifa), Kilatini(lugha ya Warumi).

Kwa sababu gani watu wengi wanakusanyika penye mto?Kaeni tayari,Ufalme wa Mungu unakuja.

Anzeni maishamapya.Kila mti usiozaa matundamemautakatwa na kutupwa motoni.Shoka la hukumu ya Mungulimekaa tayari kuikatamizizi ya mti Sisi sote huenda piatukakatwa. Ni nani awezayekuishi maisha mema?Hakika. Hakuna mtu awezayekuiepuka hukumu ya Mungu.Lakini, baada yangu, anakuja yuleatakayeyageuza kabisa maisha yenu.Je, kweli mnataka maisha yenuyabadilike?Basi, mkiri dhambi zenu na njonimbatizwe katikamaji haya.Mmesafishwa dhambi zenu.Sasa mpo tayari kuanzamaisha mapya.

Watu wote humwita mhubiri huyo pale mtoni,kwa jina la Yohane Mbatizaji Na baadaye Mimi siyo kitu.Ninamtayarishiamambo yuleatakayekujakutujulisha Mungu ninani. Atawabatizenikwa Roho wa Munguna moto wa Mungu.Kitendo kama hicho,kitawageuzeni kabisa.Halafu sauti yasikika kutokambinguni Naam,wewe ndiweMwanangu,ninakupendananinafurahiwanawe.Mimi lazimanibatizwenawe.Wewe fanya tu.Ndipo tutayatimizamapenzi ya Mungu.Baba,ufalme wako ujena utakalo lifanyike.

ISRAELIKAFARNAUMUGALILAYANazaretiKanaYORDANINi mwanzo wa majira yetu hayandipo Yohane Mbatizaji anapowatayarishaWaisraeli kwa ujio wa Masiha. Wakati huu, Israelini sehemu ndogo tu ya ufalme mkubwa wa Kirumi.YerusalemuYUDEAPale mtoni Yordani,Yohane Mbatizaji anamwonyesha Yesu kwa kidole.Wayahudi,katika nchi yaIsraeliwanajisikia kuwawanyonge nawenye kuonewa.Watuwanautazamiakwa hamu,wakati uleMasihaatakapokuja. Masihahuyu, ndiye Mwokoziambaye ujio wakeumeahidiwa katikamaandiko yaWayahudi. Yeyeataistawisha haki yaMungi.Baada ya ubatizo wake Yesu, Rohowa Munguanamwongoza Yesu jangwani.Tazama,Yule ndiyeMwanakondoowa Munguaondoaye dhambiAnakaa huko kwa siku 40 kutwa kucha. Anapokuwahuko, hali chochote. Kutokana na kusali na kufunga,anapata kuitambua wazi wazi kazi yake.Yesu anajaribiwa na Shetani, mtawala wa giza asiyeonekana,anayeutawala ulimwengu kwa kifo na uovu.Ili apate kufaulu, Yesu lazimaaudhihirishie ulimwengumatakwa ya Mungu.Ni mpango wa Mungu ya kwambawatu waepukane na tisho la kifo.Baba.Nitalifanyalolote lileulitakalo.

Lakini Shetani, mpinzaji wake, anajaribu kumpaYesu fikira potofu ili apate kumshawishiasiitekeleze kazi ya Mungu.Ikiwa wewe kweli ni Mwana waMungu, basi, yageuze mawehaya yawe mkate.Ikiwa wewe kweli ni Mwana waMungu, thibitisha!Jitupe chini kutoka kwenye paala hekalu. Je, haikuandikwaya kwamba malaikawatakuchukua mikononi?Tazama. Nitakupamamlaka yote duniani kamaukiniinamia na kuniabudu.Hapana!Imeandikwa kitabuni:Mtu hawezi kuishi kwa kulamkate tu, bali kwanzaanayahitaji manenoayanenayo Mungu.Baada ya hayo, Shetanianamwacha Yesu, kwa wakatihuo. Malaika wanakujakumsaidia.Yesu anajawa na RohoMtakatifuanaporudi Galilaya.Yesu alipata kukua katikamkoa huu, wenye watu wengisana ulioko kaskazini mwa Israeli.Wakati anaposafiri, watu wengihujiunga naye. Wanafikiri nakujiulizauliza kama Yesu ndiyeMasiha ambaye habari zakezimeandikwa na manabii.Imeandikwapia:UsimjaribuMungu.Ondoka Shetani.Imeandikwa:Sharti tumwabudu nakumtumikia Mungu peke yake.

Inafanyika harusi katika mji wa Kana ulioko kwenye vilima vya Galilaya Yesu pia yupo katika sherehehiyo, pamoja na mama yake,na baadhi ya marafiki zake.

Lakini katikati hasa ya sherehe Bahati mbaya,divaiimekwisha.Fanyeni tu, lolotelile Yesuatakalowaambia.Ijazeni maji hiyo mitungimikubwa, halafu choteni nakumpa Mkuuwa Karamu, ili aonje.Haya siyo maji tena.Lakini ni divai iliyo safi sana.Hebu ionje.Wewe umeiwekadivai nzurihadi mwisho.?Sijapata kuhudhuria harusi kama hii.Sijapata kuona maji yakigeuzwa kuwadivai, na divai iliyo nzuri sana.Hiyo, ndiyoiliyokuwa kazi yaYesu wa Nazareti.Hatahivyo, yeyehuyu ninani?

Kafarnaumu ni mji wa wavuvi unaostawi kando kando ya ziwaGalilaya. Hapa ndipo Yesu anapoanza kuzungumza hadharani kuhusuufalme wa Mungu.Petro, tuendeshe mashua hadikilindini, huko ndiko mkazitupenyavu zenu.Na hapa ndipo anapowachaguawanafunzi wake wa kwanza.Bwana, tumejitahidi usiku kuchawala hatukufanikiwakupata chochote kile.Lakini kwa kuwawewe umesema hivyo Ajabu. Sielewi kabisa.

Yakobo,Yohane,njoni hapa!Hatujapatakuwavuasamaki wengikama hawa!Ondoka kwangu Bwana.Kwani mimi ni mtu mwenyedhambi.Nifuateni.Usiogope, Petro!Njoni mnifuate, naminitawafanya wavuvi wa watu.

Heri walio maskini, maanaUfalme wa mbinguni ni wao.Yesu anazitembelea sehemu zoteza Galilaya pamoja na wanafunziwake.Anawafundisha watu wotekuhusu ufalme wa Mungu.Anaponya aina zote za maradhina kuwafukuza pepo wabaya.Watu wanastaajabu na kumfuata.Wengine wanatoka hata kwenyemikoa mingine na Yerusalemu,mji mkuu wa Israeli.Wanalisikiliza, kwa makini,kila neno analolisema.Heri walio na njaa,maana watashibishwa.Heri walio na huzunimaana watafarijiwa.Heri yenu nyinyi mnapochukiwana watu kwa sababu yangu.Furahini na kushangiliamaana tuzo lenuni kubwa mbinguni.

Watendeeni watu wengineyale mnayotakawao wawatendee nyinyi.Yeyote yule amtazamayemwanamke akiwa na shaukuya kumpata, amekwisha zininaye moyoni mwake.Msiwe na wasiwasi kuhusukesho. Kwanza utafuteniufalme wa Mungu na halafumambo mengine yatafuata.Tendeni mema faraghanibila kujionyesha mbele za watu.Wapendeni maadui zenuna kuwaombea.Jicho ni taa ya mwili.Ikiwa jicho lako ni zima,basi, mwili wako mzimautakuwa katika mwanga.Lakini kama jicho lako ni bovuutaishi gizani.Hapana mtu awezayekuwatumikia mabwana wawili,au unamtumikia Mungu, auunaitumikia mali.Yatekelezeni haya ninayowaambieni.Ndipo mtafanana na mtu yuleaijengaye nyumba yake juu ya mwamba.Msipotekelezeni ndipo mtafanana na mtu ambayeanajenga nyumba yake juu ya mchanga.

Siku moja makundi ya watu walipokuwa wakisongana kwenye nyumbaalimokuwamo Yesu katika mji wa Kafarnaumu Kuna nini hukojuu?Hatutaweza kamwekuingia ndani humo.Waacheni!Marafiki haowana imani kubwa.Lazima tumwingizeyeye na godorolake kupitia kwenyepaa la nyumba.Anawezaje huyu kusemahivyo?AnamkufuruMungu.Mungu peke yake ndiyeawezaye kuondoa dhambi.Lipi lililo jambo rahisi zaidikumwambia mtu aliyepooza:‘Umesamehewa dhambi’au ‘Simama’.Umesamehewadhambi zako.Masiha anayo mamlakaya kuondoa dhambilakini, pia ninasema: Chukuagodoro lako na utembee.

Tazama anatembea!Ajabu kwelikweli!Naam! Sasamimi ninawezakutembea!Lakini siyo wote wanayafurahiahayo matendo mema ya Yesu.Viongozi wa dini wanachunguzakama Yesu anazifuatakanuni za sabato.Katika nchi ya Israeli,watu wanakatazwa kabisakufanya kazi, ya aina yoyote,katika siku kama hii.Huyu ni mtu aliye namkono uliolemaa.Je, ni halali siku hii ya leokutenda jambo jema?Nyosha mkono wako.Shartihuyutumwangamize!Lo! Nimepona!Viongozi waYerusalemulazimawaambiweya kwambamtu huyuanalipotoshataifa.

Msongamano wa watu unapozidi, Yesu anaondoka nawanafunzi wake, na kusafiri kwa mashua katika ziwa Galilaya.Bwana tusaidie!Tunazama!Mbona mnaogopa?Je, imani yenu ni haba?

Kaakimya!Tulia!Wanaifunga mashua yaomahali palipotulia.Lakini mlimani RAAAA!

Kuna mtu wa ajabuanayeishi milimani Huyo anakuja!Huyo! Lo salale!Enhee,Yesu!Mwacheni,pepo mchafu!Una shaurigani nami,YesuMwana waMunguMwenyezi?Jina lakonani?Naitwa Jeshi, maanasisi tu wengi.Uturuhusutuwaingiehaonguruwe.Nenda!

Nimepona kabisa!?Weweondoka!Nendakwako.Je, ninawezakwendaHapana, rudi nyumbani,ukaeleza yoteMungu aliyokutendea.

Ninawaambieni: Mwanahawezi kulifanya jambololote yeye peke yake.Analifanya lile tuambalo alitakalo Baba. Sitakikufanya nitakalo, bali mapenzi yaBaba yangu.Yeye ndiye aliyenituma mimi.Kwa desturi, Yesu huenda kusalimahali palipotulia.Baada ya kusali usiku kuchaYesu anawateua mitumewake 12.Anawatuma wawili - wawili.Anawapa mamlakajuu ya pepo wote wachafuna pia kuponya wagonjwa.Hawa ndio ndugu wawiliPetro na Andrea.Ndugu wawili hawaYakobo na Yohane Filipo na Natanieli

Toma na Matayo (ambayehapo kwanza alikuwa mtozaushuru kwa ajili ya serikali yaKirumi).Tadayo naYakobo mwingine.Nendeni, yeyote anayewapokeanyinyi, ananipokea mimi,na yeyote anipokeaye mimi,anampokea yule aliyenituma.Hawa mitume 12wanarudi wakiwa nahamasa kubwakuhusu kazi yao yakitume.Baada ya haya,Yesu anataka kwendanao mahalipa faragha, lakinimakundi ya watuhawakutaka kabisakuwaachilia.Mavuno ni mengi, lakini wavunaji niwachache. Mwombeni yule Bwanamwenye shamba, ili awatumewavunaji wengi wapate kuyavunamavuno.Simoni (mpinzani shupavu)na Yuda Iskarioti.

Yesu anaendelea tena kuhubiri na kuwaponya wagonjwa. Sasa kunakucha Filipo, watu hawa wotewatapataje chakula?Tafadhali wapeni ninyichakula chochote, wale.Mshahara wa mieziminane haungeelekeakuwatosha watu hawa.Yesu anamshukuru Mungu.Yupo hapa mtoto mmoja aliye namikate mitano na samaki wadogowawili. Hakuna chochote cha ziada.Akaendelea tu kugawamikate na wale samaki.Waambieni watu wakaekatika vikundi vya watuhamsini-hamsini.

Maelfu ya watuwanalishwa wakatiYesu anakizidishachakula hicho Huyu, hakika ndiye yule Masihaanayetegemewa kuja.Sharti tumtawazeili awe Mfalme.Haya, angalieni.Kuna vikapu 12vilivyojaa tele,vilivyobaki.Wakati umefika watu hawa waende zao. Nyinyi,pandeni mashua yenu ili mvuke. Mimi ninabakihapa mlimani kusali.

Baadaye Lo salale!Huyo ni mzimu!Msiogope, nimimi.Bwana, kama niwewe, niambie nijekwako nikitembeajuu ya maji.Haya,njooPetro.Bwana,niokoe!Kwa nini ulitiashaka, Petro?

Bwana, ulifika linihapa?Kuna watu wanaotakakumtawazaYesu ili awe mfalme.Je, mnanitafuta kwasababu ya ile mikateniliyowapeni?Wao wanatumaini ya kwambachini ya uongozi wake,utawala wa Kirumiutaondolewa.Kadhalika, nao wapinzani waYesu, wameongezeka.Wanaendeleakumlaumu siku zote.Wanatakakumchonganisha na watuna kumwangamiza.Msishughulike juu ya chakulaambacho kitaoza, bali tafutenichakula chenye uzima wa milele.Mimi ndimi mkate wa uzima.Ni mwili wangu ndiounatolewa kwa ajili ya uzimawa ulimwengu.Je, anawezaje mtu huyukutupa mwili wake ili tule?Upuuzi mtupu!Je, nanyi pia mwatakakwenda zenu?Hebu, twendezetu.Huyu anaelekeakumdanganya kilamtu.Bwana, tutakwenda kwanani? Wewe unayo manenoyaletayo uzima wa milele.

Upinzani kwa Yesuunaendeleakuongezekakwa kasi sana.Anauhama mkoa waGalilaya, na kuendeleana kazi yake katikasehemu nyingine zalsraeli pamoja nakikundi cha wafuasi:wake kwa waume.Baadaye anaondokakwenda Yerusalemu.GALILAYAYerusalemuISRAELIWanapokuwa safarini Watu wanasemamimi ni nani?Na ninyi, je?Mwasema mimi ninani?Wanasema wewe ninabii.Wewe ni Masiha, Mwana waMungu aliye hai.Msimwambie mtu yeyote. Masiha hana budikwenda Yerusalemu kuteswa na kufa. Lakinisiku ya tatu atafufuka kutoka kaburini.

Nje ya mji wa Yerusalemu mara kwa mara watu huuawa.Wanasulubiwa, ambayo ndiyo adhabu ya kifo ya kikatili ya Warumi.Kama mtu yeyote anatakakuwa mfuasi wangu, lazimaajikane mwenyewe, auchukuemsalaba wake, na anifuate.Huna budi kujua ya kwambakuna Mungu mmoja tu.Mtu yeyote anayetakakuyaokoa maisha yakemwenyewe, atayapoteza; lakinianayeyapoteza maisha yakekwa ajili yangu, atayaokoa.Jambo lililo kubwa ni kumpenda Mungu wako kwamoyo wako wote, na kuwapenda watu wenginekama vile unavyojipenda wewe mwenyewe.

Wakati huu, kuna vijiji vya wakoma katikaIsraeli. Ukoma ni ugonjwa wa kutisha.Walioambukizwa ugonjwa huo, hawaruhusiwikuchanganyika na watu walio wazima.Wakoma hupiga kelele popotewaendapo ili kuwaonya watuwengine kwamba wanakuja.Tahadhari!Wenye ukoma!Yesu Bwana!Utuhurumie.

Je, twende kwa kuhani?Kupimwa?Je, baada ya hapo,ndipo tutapona?Nendeni mkajionyeshe kwamakuhani.?!Tazama!Nimepona!Watu 10 walitakaswa, sivyo?Wale tisa wako wapi? Je,mbona hawakuja kumshukuruMungu?Aleluya!Mungu nimwema.Tumepona!Naam!Simama!Licha ya imani yako kukuponya,bali pia imekuokoa.

Anashirikiana na watu wenye sifambaya kama vile wazinzi, watozaushuru wanaowashughulikia Warumi Viongozi wa Wayahudi,katika Yerusalemu,wanawatuma vibaraka waokwa Yesu, ili wapatekumpelelezaanapokuwa akisafiri.Wao wanazipinga kabisahizo huduma zake bora.Kwa sababu Yesu huwaponyawagonjwa siku ya Sabato Na watoto anawapenda kwanamna ya pekee Pona!Waacheni hao watotowaje kwangu. Ufalme waMungu ni mali ya watuwalio kama watoto hawa.Masiha amekujakuwatafuta walewaliopoteaili apate kuwaokoa.

Yesu anaitwa kwenda Betania,kijiji kilicho karibu naYerusalemu.Lazaro ni mgonjwa.Lazaro pamoja na dada zakewawili, Marta na Maria,ni marafiki wakubwa wa Yesu.Bwanahuyo!Yesu anapofika Betaniamara anapata habariya kwamba Lazaro alizikwasiku nne zilizopita Bwana, kama ungalikuwa hapakaka yangu hangalikufa.Kaka yako atafufuka, Marta.Mimi ndimi ufufukona uzima. Anayeniaminimimi ataishi. Je, unaaminihayo Marta?Ndiyo Bwana. Mimi naaminikwamba wewe ndiwe Masiha,Mwana wa Mungu,yule anayekuja ulimwenguni.Ndiyo najua.Atafufuka wakati wa ufufuko,siku ya mwisho.Mmemzika wapi?Bwana, njoo uone.

Tazameni.Alimpendakwelikweli.Lakini, yeyehangaliwezakukizuia kifohicho chaLazaro?Bwana, ameanza kunuka;amekaa kaburini siku nne Katika sehemu hizi, wafu huvingirishiwa sandawakawekwa katika makaburi yaliyochongwa mwambani.Ondoeni hilo jiwe.Baba, nasema haya ili watuwaliopo hapa wapate kuaminikwamba ni wewe uliyenituma.Mtauona utukufu waMungu.Mwondoeni hizo sanda,mkamwache aende zake.Lazaro,toka nje!

Watawala wa Yerusalemu wanaingiwa nawasiwasi zaidi kuhusu Yesu na wafuasi wake.Huyo mtu anafanyamiujiza mingi mno.Tukiyaacha mambohaya yaendelee,Warumi watachukuahatua kali.Watalivunja hekalu letuna kuliangamiza taifa!Tumieni busara yenu.Ni heri zaidi kwamba mtummoja afe kwa ajili ya taifa,kuliko nchi nzima iteketezwe.Tangu wakati huo,viongozi wa Wayahudiwakawa wanatafutanafasi ya kumkabidhiYesu kwa Warumiambao ndio peke yaowenye mamlaka ya kutoaadhabu ya kifo.Hiyo ndiyosababu Yesusharti auawe.

Huko nyuma, inafanywa sherehe huko Betania Maria!Hayo marashiyana thamanikubwa.Yangaliwezakuuzwa,maskiniwakapewahizo fedha.Mwache huyu mama, Yuda.Ameupaka mwili wangumarashi kuutayarisha kwamaziko.

Karibu itafika sikukuu ya Pasaka. Makundi yawatu wanasafiri wakielekea Yerusalemu.Mjini Yerusalemu, viongoziwanakula njama za kutia nguvuniYesu. Hata hivyo yeye anakwenda.

Watu wanamkaribishakwa shangwe kuu.Abarikiwe yeye ajayekwa jina la Bwana!Mfalme waIsraeli!Karibu!.Karibu!.Ulimwengu mzimaunamfuata.Tufanyeje sasamambo yakiwa kamahivi?

Hekalu lililoko katika mji huomkuu, ndilo kitovu cha ibada.Lakini, sadaka gani yamwanakondoo inaweza kwelikuwaondolea watu dhambi zao?Ghafla, Yesu piaanajitokeza hapo.Wakati wa sikukuu ya Pasaka,wanakondoo huchinjwa.Sehemu ya kila mwanakondoohutolewa sadaka hekaluni kwaajili ya watu ili kuwapatanishana Mungu.Katika uwanja wa hekalu, watu wanajishughulishana biashara na kubadilishana fedha.

Nyumba ya Munguinapaswa kuwa nyumbaya sala, lakini nyinyimmeigeuza kuwa pangola wezi!Kwa kweli,hatuna budi kutafuta nafasiya kumwangamiza.Huyu anaelekea kuwamtu wa hatari, baliwatu wanaliamini kilaneno alisemalo.

Kama tukimfanyiahila, tunawezatukampata. Hapondipo tutakapomwua.Lakini isiwe wakati wasikukuu. Hatutakighasia zozotezifanyike wakati wasikukuu ya Pasaka.Mtanipa kiasi ganikama nikimkabidhiYesu kwenu?Tutakupa sarafu 30 za fedha,ukitukabidhi Yesu,thamani anayonunuliwamtumwa.Nitamkabidhi Yesu kwenu.Huyo ndiyeYuda,mmojawapo wawanafunzi wake.

Yesu anazitumia siku zakekabla ya sikukuu ya Pasakakwa kuhubiria watu hekaluni,ijapokuwa viongozidaima wanajaribukumwekea vikwazoili asifanye hivyo.Wakati wa jioni hiyo, Yesu na wanafunzi wake12 wanakutana mjini ili kula karamu yaPasaka.Nitafanya hivyo usiku huu.

Nimetamani sanakula karamu hii ya Pasakapamoja nanyi kabla ya kuteswakwangu.Mimi niko kati yenu kamamtumishi.Wenye mamlaka huwatawalawatu kwa mabavu, bali nyinyi,kamwe msifanye hivyo.Yule mtumishi wa wote ndiyeatakayekuwa kiongozi wenu.

Bwana, weweutaniosha miguu mimi?La, hutaniosha kamwe!Kama mimi sikuoshimiguu yako, Petro,wewe hutakuwa nauhusiano nami tena.Nyinyi mnaniita mimi Bwana naMwalimu, mnasema vyema,maana ndivyo nilivyo.Maadamu mimi nimewaoshenimiguu yenu, hivyo nanyi hamnabudi kuhudumiana kamanilivyowahudumia mimi.Unachotakakufanya, Yuda,kifanye haraka.Bwana, basi, nioshesi miguu tu, bali namikono na kichwa pia!Aliyekwisha oga hanalazima ya kunawaisipokuwa miguu.Siyo mimi, eti?Mmoja wenu atanisaliti.La, hasha!

Fanyeni hivi mara nyingi kwakunikumbuka mimi Twaeni mkate huu,ndio mwili wangu.Ninawapeni nyinyi amri mpya,mpendane kama vile miminilivyowapenda nyinyi.Twaeni kikombe hiki,ndicho damu yangu inayomwagikakwa ajili

Anzeni maisha mapya. Shoka la hukumu ya Mungu limekaa tayari kuikata mizizi ya mti Kila mti usiozaa matunda mema utakatwa na kutupwa motoni. Sisi sote huenda pia tukakatwa. Ni nani awezaye kuishi maisha mema? Hakika. Hakuna mtu awezaye kuiepuka hukumu ya Mungu. Lakini, baada yangu, anakuja yule atakayeyageuza kabisa maisha yenu.

Related Documents:

203 C Jesus Is The Sweetest Name I Know 145 C Jesus Is The Way To Salvation 219 F Jesus Keep Me Near The Cross 293 F Jesus My Lord Will Love Me Forever 19 F Jesus, I Just Want To Thank You 163 Eb Jesus, Jesus, Jesus 59 C Jesus, Jesus, Thou Art Enough 354 Eb Jesus, Just The Mention Of Your Name 361 F Jesus, Name Above All Names

j. de jesus calderon cardona j. de jesus estrada avelar jesus espinosa regalado jesus loizaga urbina jesus maria de los reyes guevara jesus romo lopez j. guadalupe diaz morones j. jesus duron padilla j. jesus esparza moreno j. jesus garcia ibarra j. jesus silvestre pedroza j. jesus tinajera esquivel j.

ST. ELIZABETH ANN SETON’S VERSION OF THE ANIMA CHRISTI Soul of Jesus, sanctify me. Blood of Jesus, wash me. Passion of Jesus, comfort me. Wounds of Jesus, hide me. Heart of Jesus, receive me. Spirit of Jesus, enliven me. Goodness of Jesus, pardon me. Beauty of Jesus, draw me. Humility of Jesus, humble me. Peace of Jesus, pacify me. Love of .

The Return to Nazareth The Boy Jesus in the Temple Chapter 3 John the Baptist Prepares the Way The Genealogy of Jesus Christ . The Temptation of Jesus Jesus Begins His Ministry Jesus Rejected at Nazareth Jesus Heals a Man with an Unclean Demon Jesus Heals Many Jesus Preaches in Synagogues Chapter 5 Jesus Calls the First Disciples Jesus .

7) El nacimiento de Jesús. 8) La vida de Jesús de Nazaret. 9) Mensajes de Jesús de Nazaret. 10) Con Jesús compartimos el pan. 11) Jesús nos enseña a orar. 12) Jesús y los mandamientos. 13) Jesús y nuestra conversión. 14) Muerte y resurrección de Jesús. 15) Jesús nos envía el Espíritu Santo. 16) Jesús y la Iglesia.

4 - Messiah College Catalog 2015 - 2016 A CHRISTIAN COLLEGE OF THE LIBERAL & APPLIED ARTS & SCIENCES Messiah College Undergraduate Catalog 2015-2016 A Message from the President Welcome to Messiah College — a Christ centered educational community committed to the intellectual, personal, and spiritual

Supriem Rockefeller – Messiah or AntiChrist? Supriem Rockefeller – Messiah or AntiChrist? - by Wes Penre, 2009 - Published for Public View on June 16, 2009 His full name is Supriem David Rockefeller, a 34 year old man who says he is Lucifer redeemed, the Messiah the world has

sebuah standar akuntansi untuk lembaga keuangan syariah yang disebut accounting, auditing, and governance standard for Islamic institution. 3. Perkembangan Akuntansi di Indonesia (IAI) Ketika Indonesia merdeka, hanya ada satu orang akuntan pribumi, yaitu Prof. Dr. Abutari, sedangkan Prof. Soemardjo lulus pendidikan akuntan di