Fomati Ya Upimaji Wa Kitaifa Wa Darasa La Nne - Necta

1y ago
7 Views
2 Downloads
5.41 MB
90 Pages
Last View : 12d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Milena Petrie
Transcription

BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIAFOMATI YA UPIMAJI WA KITAIFAWA DARASA LA NNEIMETOLEWA NA:BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIAS.L.P 2624DAR ES SALAAMTANZANIAFEBRUARI, 2018

BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIAFOMATI YA UPIMAJI WA KITAIFAWA DARASA LA NNEIMETOLEWA NA:BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIAS.L.P 2624DAR ES SALAAMTANZANIAFEBRUARI, 2018

Imechapishwa na:Baraza la Mitihani la Tanzania,S.L.P. 2624,Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania, 2018.Haki zote zimehifadhiwa.ii

YALIYOMODIBAJI . iv01 KISWAHILI . 102 ENGLISH LANGUAGE . 503 MAARIFA YA JAMII . 904 HISABATI . 1205 SAYANSI NA TEKNOLOJIA . 1506 URAIA NA MAADILI . 18JEDWALI NA 1: MWONGOZO WA UPIMAJI WA SOMO LA KISWAHILI . 21JEDWALI NA 2: MWONGOZO WA UPIMAJI WA SOMO LA ENGLISHLANGUAGE. 27JEDWALI NA 3: MWONGOZO WA UPIMAJI WA SOMO LA MAARIFA YAJAMII . 33JEDWALI NA 4: MWONGOZO WA UPIMAJI WA SOMO LA HISABATI . 45JEDWALI NA 5: MWONGOZO WA UPIMAJI WA SOMO LA SAYANSI NATEKNOLOJIA . 51JEDWALI NA 6: MWONGOZO WA UPIMAJI WA SOMO LA URAIA NAMAADILI . 60iii

DIBAJIFomati hii ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne imeandaliwa kwakuzingatia Mtaala wa Elimu Msingi Darasa la III hadi la IV uliotolewa naWizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia mwaka 2016 na kuanza kutumikamwaka 2017. Mtaala wa Elimu Msingi wa mwaka 2016 umetokana na Seraya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo inasisitiza zaidi umahiri kwamwanafunzi katika nyanja zote za kujifunza.Fomati hii pia imelenga kupima umahiri wa mwanafunzi katika kumudustadi za Kusoma, Kuandika, Kuhesabu katika kiwango kinachomwezeshakutumia ujuzi aliopata katika kutatua matatizo ya kijamii, kisiasa, kiuchumina kiteknolojia katika kujiletea maendeleo binafsi na Taifa kwa jumla.Fomati hii itaanza kutumika mwaka 2018.Mtaala mpya umebainisha masomo sita ya lazima yatakayofundishwaDarasa la III na IV. Masomo hayo ni Kiswahili, English Language,Hisabati, Maarifa ya Jamii, Sayansi na Teknolojia na Uraia na Maadili.Hivyo mabadiliko katika mtaala mpya wa Darasa la III hadi la IV ni pamojana kuunganisha masomo ya Jiografia, Historia na kuwa somo la Maarifaya Jamii. Somo la Uraia limerekebishwa kwa kuongezewa kipengele chaMaadili, hivyo kuitwa Uraia na Maadili. Aidha somo la Stadi za Kazi,Haiba na Michezo ambalo lilikuwa likifundishwa Darasa la III – IV litaanzakufundishwa Darasa la Tano. Katika Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la NneBaraza la Mitihani litapima masomo sita ambayo ni Kiswahili, EnglishLanguage, Hisabati, Maarifa ya Jamii, Sayansi na Teknolojia na Uraiana Maadili. Aidha, walimu wanasisitizwa kufundisha wanafunzi kwa mujibuwa muhtasari ili kutimiza malengo yaliyokusudiwa katika somo hilo.Fomati hii imeandaliwa kwa kuzingatia umahiri ulioainishwa katikamihutasari mipya inayofundishwa katika Shule za Msingi Darasa la III na laIV. Aidha, Fomati hii inatoa mwongozo kwa walimu na wanafunzi kuhusumuundo wa karatasi ya upimaji. Hata hivyo, walimu na wanafunziwanashauriwa kutotumia fomati hii kama mbadala wa muhutasari. Katikaufundishaji na ujifunzaji ni lazima maudhui yote yaliyoainishwa katikamihutasari ya shule za msingi katika Darasa la Tatu na la Nne yafundishwekikamilifu.Fomati za kila somo litakalopimwa zimeainisha utangulizi, malengo yajumla, umahiri wa jumla, umahiri mahususi, muundo wa karatasi ya upimaji.iv

Pia,vigezo vya upimaji kwa kila umahiri mkuu na umahiri mahsusi pamojana viwango vya kufaulu vimewekwa katika majedwali ya mwongozo waupimaji wa kila somo yaliyoambatanishwa.Baraza la Mitihani linatoa shukrani za dhati kwa Maafisa Mitihani na wotewalioshiriki katika kuandaa fomati hii.Dkt. Charles E. MsondeKatibu Mtendajiv

01 KISWAHILI1.0UTANGULIZIFomati hii ya upimaji wa somo la Kiswahili inatokana na Muhtasariwa somo la Kiswahili wa mwaka 2016 ulioanza kutumika Januari2017, ambao ulizingatia muhamo wa ruwaza. Aidha, fomati hiiimezingatia malengo ya Upimaji wa Elimu Msingi Darasa la Tatu naDarasa la Nne ambayo ni pamoja na kufuatilia kiwango chaujifunzaji wa wanafunzi wa Darasa la Tatu na Darasa la Nne katikasomo la Kiswahili.Fomati hii imeingiza mabadiliko ya msingi ya kupima ujuzi, stadi namielekeo mbalimbali aliyojifunza mwanafunzi badala ya kuwekamkazo katika kupima namna mwanafunzi alivyomudu maudhui yamada zilizoainishwa katika muhtasari. Aidha, upimaji pia una lengola kupima jinsi mwanafunzi anavyoweza kutumia ujuzi aliopatakatika kutatua matatizo ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojiakatika jamii ili kujiletea maendeleo binafsi na Taifa kwa jumla.2.0MALENGO YA JUMLAUpimaji wa Kiswahili unalenga kupima uwezo wa mwanafunzikatika:2.1 kuzungumza, kusikiliza, kusoma na kuandika kwa kutumialugha ya Kiswahili;2.2 kutumia Kiswahili fasaha katika miktadha mbalimbali;2.3 kutumia Kiswahili kupata maarifa, stadi na mwelekeo wakijamii, kiutamaduni, kiteknolojia na kitaaluma kutoka ndani nanje ya nchi;2.4 kukuza stadi za mawasiliano ili kumwezesha mwanafunzikumudu maisha yake;2.5 kujenga msingi bora na imara wa kujifunza kwa ajili ya elimu yajuu na kujiendeleza yeye binafsi kwa kutumia lugha yaKiswahili;2.6 kuifahamu, kuitumia na kuithamini lugha ya Taifa.1

3.0UMAHIRI MKUUUpimaji unalenga kupima umahiri wa mwanafunzi katika:3.1 kuwasiliana katika miktadha mbalimbali;3.2 kuonesha uelewa wa jambo alilolisikiliza au kulisoma;3.3 kutumia msamiati katika miktadha mbalimbali.4.0UMAHIRI MAHSUSIUmahiri utakaojengwa na mwanafunzi katika somo ni:4.1 kutambua sauti mbalimbali katika matamshi ya silabi, maneno,sentensi na habari;4.2 kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadhambalimbali;4.3 kutumia maandishi katika mawasiliano kulingana na miktadhambalimbali;4.4 kusikiliza na kuonesha uelewa wa jambo alilolisikiliza;4.5 kusoma kwa ufasaha na kuonesha uelewa wa matinialiyoisoma;4.6 kuzungumza na kuwasilisha hoja kulingana na hali mbalimbali;4.7 kutumia maandishi katika kuandaa matini mbalimbali;4.8 kusoma katika kuchanganua mawazo yaliyowasilishwa katikamatini mbalimbali.5.0MUUNDO WA KARATASI YA UPIMAJIKaratasi ya Upimaji wa somo la Kiswahili itakuwa na sehemu A, B,C, D na E. Upimaji utakuwa na jumla ya maswali matano (5) na kilaswali litakuwa na vipengele vitano (5). Muda wa kufanya upimajiutakuwa saa 1:30 ambapo wanafunzi wasioona watafanya Upimajikwa muda wa saa 1:45. Kila swali litakuwa na alama kumi (10)hivyo kufanya jumla ya alama hamsini (50).2

4.1 Sehemu ASehemu hii itakuwa na swali moja (1) la imla lenye sentensitano (5). Kila sentensi itakuwa na maneno manne (4).Mwanafunzi atatakiwa kusikiliza sentensi zitakazosomwa nakuandika kwa usahihi katika sehemu iliyoachwa wazi. Kila nenolitakuwa na alama 001/2. Swali hili litakuwa na jumla ya alama10.4.2 Sehemu BSehemu hii itakuwa na swali moja (1) lenye vipengele vitano(5). Swali litajikita katika kubainisha maana za misamiati,kutumia kwa usahihi maneno mbalimbali, nyakati mbalimbali,kubadilisha vitenzi na nomino, dhana ya ukanushi, dhana yaumoja na wingi na kuunda maneno mapya kwa kudondoshaherufi moja au silabi kutoka kwenye neno. Mwanafunziatatakiwa kujibu vipengele vyote vya swali kwa kuchagua katiya chaguzi A, B, C na D au kwa kutoa jibu sahihi. Kilakipengele kitakuwa na alama 02. Swali hili litakuwa na jumla yaalama 10.4.3 Sehemu CSehemu hii itakuwa na swali moja (1) ambalo litajikita katikamatumizi ya methali, nahau na vitendawili. Swali litakuwa navipengele vitano (5) vyenye maswali ya kujaza nafasi ku/mabano au kwa kuandika jibu sahihi. Kila kipengelekitakuwa na alama 02. Swali hili litakuwa na jumla ya alama 10.4.4 Sehemu DSehemu hii itakuwa na swali moja (1) lenye vipengele ochanganywa katika mpangilio/mtiririko unaoleta maana,kuweka alama za uandishi katika nafasi zilizoachwa wazikwenye sentensi atakazopewa au kukamilisha barua kwa3

kujaza nafasi zilizoachwa wazi. Kila kipengele kitakuwa naalama 02. Swali hili litakuwa na jumla ya alama 10.4.5 Sehemu ESehemu hii itakuwa na swali moja (1) lenye vipengele vitano(05). Mwanafunzi atatakiwa kusoma habari au shairi na kujibumaswali yatakayotokana na habari au shairi alilosoma kwakuandika jibu sahihi. Kila kipengele kitakuwa na alama 02.Swali hili litakuwa na jumla ya alama 10.6.0VIWANGO VYA KUFAULUMwanafunzi atapimwa kuwa na viwango vya kufaulu kwa kutumiavigezo vifuatavyo:6.1Mwanafunzi atakuwa na kiwango hafifu cha kufaulu endapoatakosa vipengele vyote katika swali au atajibu kipengelekimoja (1) tu kwa usahihi.6.2Mwanafunzi atakuwa na kiwango cha wastani cha kufauluendapo atajibu kwa usahihi vipengele viwili (2) hadi vitatu (3)katika kila swali kwa usahihi.6.3Mwanafunzi atakuwa na kiwango kizuri cha kufaulu endapoatajibu kwa usahihi vipengele vinne (4) katika kila swali kwausahihi.6.4Mwanafunzi atakuwa na kiwango kizuri sana cha kufauluendapo atajibu kwa usahihi vipengele vitano (5) katika kilaswali kwa usahihi.Umahiri katika dhana mbalimbali utapimwa kama inavyooneshwa katikaJedwali Na. 1.4

02 ENGLISH LANGUAGE1.0INTRODUCTIONThis assessment format is based on the English Language Syllabusfor Basic Education of 2016 which became operational from 2017.The English Language subject syllabus was prepared by consideringthe paradigm shift from content to competence based type ofteaching and learning as stated in the curriculum.This format aims at assessing pupils’ competences, skills andattitudes in learning. The assessment will focus on measuring theextent to which pupils have been able to use the attainedcompetences and take part in simple conversations.2.0GENERAL OBJECTIVESThe assessment will test the extent to which the pupils are able to:2.1express themselves appropriately in a given situation.2.2listen and comprehenddescriptions;2.3read and comprehenddescriptions;2.4use appropriate vocabulary to communicate in everydayinteractions, such as family, hobbies, school, and currentevents;2.5use simple meaningful and grammatically correct sentences;and ;2.6use the knowledge of English Language to tionandsimpleandsimple

3.0GENERAL COMPETENCESThe assessment will test the extent to which the pupils are able to:4.05.03.1listen and comprehend oral and written information andsimple descriptions;3.2use appropriate vocabulary to communicate in everydayinteractions;3.3use simple meaningful and grammatically correct sentencesto communicate in a simple way; and3.4communicate in a simple way using all the four languageskills.SPECIFIC COMPETENCES4.1comprehend oral and written information.4.2use vocabulary/verbs through the four language skills.4.3communicate orally and through writing.ASSESSMENT RUBRICThe English Language subject assessment paper will consist ofsections A, B, C, D and E. The assessment will have a total of five(5) questions. Each question will consist of five sub-items. Theduration for the paper will be 1:30 hours and 1:45 hours for thepupils with visual impairment. Each question will carry a total of ten(10) marks making a total of fifty (50) marks.5.1Section A: Dictation5.1.1 The section will consist of one question with five simplesentences. The question will be on dictation of whichfive sentences will be dictated to pupils by theinvigilator and pupils will be required to write thesentences correctly in the space provided. Each item6

will carry two (2) marks, making a total of ten (10)marks in this section.5.1.2 The pupils will be required to listen and write thewords/simple sentences read by the invigilator in thespaces provided.5.2Section B: VocabularyThe section will have one (1) question with five (5) itemswhich will either be multiple-choice, gap filling, matching orshort answer items aimed at testing pupils’ ability to usedifferent vocabulary items in different communicativesituations. The pupils will be required to answer all the items.Each item will carry two (2) marks, making a total of ten (10)marks in this section.5.3Section C: GrammarThe section will have one (1) question with five (5) itemswhich will either be multiple-choice, gap filling or short answeritems aimed at testing pupils’ ability to use grammar patternsin different communicative situations. The pupils will berequired to answer all the items. Each item will carry two (2)marks, making a total of ten (10) marks in this section.5.4Section D: CompositionThe section will have one (1) question with five (5) itemswhich will either be jumbled sentences, letter writing or aguided composition designed to test pupils’ ability to write atext expressing different events in different situations. Eachitem will carry two (2) marks, making a total of ten (10)marks.7

5.5SECTION E: COMPREHENSIONThe section will comprise of a short and simple passage thatwill be followed by one (1) question with five (5) items whichwill be short answer questions. The pupils will be required toanswer all the items by using the correct information from thepassage. Each item will carry two (2) marks, making a total often (10) marks in this section.6.0ASSESSMENT CRITERIAThe following are levels of performance in each task against theassessment criteria:6.1A pupil will have poor performance if he/she fails to answercorrectly all items of each question or if he/she answerscorrectly only one (1) item of each question.6.2A pupil will have average performance if he/she answerscorrectly two to three (2-3) items of each question.6.3A pupil will have good performance if he/she answerscorrectly four (4) items of each question.6.4A pupil will have excellent performance if he/she answercorrectly five (5) items of each question.The assessment guide for the English Language competences ispresented in the Table 2.8

03 MAARIFA YA JAMII1.0UTANGULIZIFomati hii inatokana na Muhtasari wa somo la Maarifa ya Jamiiwa mwaka 2016 ulioanza kutumika Januari 2017. Fomati hiiimetayarishwa ili kupima umahiri wa viwango vya utendaji kwawanafunzi wa Darasa la Nne vilivyooneshwa katika muhtasari wasomo la Maarifa ya Jamii.2.0MALENGO YA JUMLAUpimaji unalenga kupima uwezo wa mwanafunzi katika:3.02.1kuthamini na kulinda mazingira na rasilimali za taifa.2.2kuthamini uhusiano wa watu na mazingira katika jamii.2.3kutambua na kutumia fursa zilizopo katika mazingira yake.2.4kutambua asili ya jamii za Taifa letu.UMAHIRI MKUUUpimaji unalenga kupima umahiri wa mwanafunzi katika:3.1kutambua 2kutambua misingi ya uzalendo katika jamii.3.3kutumia ramani na elimu ya anga katika maisha ya kilasiku.3.44.0kufuata kanuni za kiuchumi katika shughuli za uzalishajimali.UMAHIRI MAHUSUSIUpimaji utapima uwezo wa mwanafunzi katika:4.1kutunza mazingira ya jamii inayomzunguka.4.2kutunza kumbukumbu za matukio ya kihistoria.4.3kutumia elimu ya hali ya hewa katika shughuli za kila siku.4.4kudumisha utamaduni wa Mtanzania.9

4.5kujenga uhusiano mwema kwa jamii inayomzunguka.4.6kuthamini mashujaa wetu.4.7kutumia ramani katika mazingira.4.8kufahamu mfumo wa jua.4.9kuthamini na kulinda rasilimali za nchi.4.10 kutambua shughuli za uzalishaji mali katika jamii.4.11 kutumia stadi za ujasiriamali katika shughuli za kila siku.5.0MUUNDO WA UPIMAJIKaratasi ya upimaji ya somo la Maarifa ya Jamii itakuwa nasehemu mbili, A na B na itakuwa na jumla ya maswali manne(4). Swali la kwanza litakuwa na vipengele nane (08), swali la pilivipengele sita (06), swali la tatu vipengele saba (07) na swali lanne vipengele vinne (04). Wanafunzi watatakiwa kujibu maswaliyote. Jumla ya alama katika upimaji huu zitakuwa hamsini (50).Muda wa kufanya maswali ya upimaji ni saa 1:30. Aidha,wanafunzi wasioona watafanya upimaji kwa muda wa saa 1:45.5.1Sehemu ASehemu hii itakuwa na jumla ya maswali mawili (2);Swali la kwanza na la pili. Swali la kwanza litakuwa lakuchagua jibu sahihi lenye vipengele nane (08). Kilakipengele kitakuwa na alama 02. Mwanafunzi atachaguaherufi ya jibu sahihi kati ya machaguo manne; A, B, C naD. Swali la pili litakuwa la kuoanisha maswali kutokakifungu A na majibu kutoka kifungu B na litakuwa navipengele sita (06) kila kipengele kitakuwa na alama 02.Sehemu hii itakuwa na jumla ya alama 28.5.2Sehemu BSehemu hii itakuwa na maswali mawili (2); Swali la tatuna nne. Swali la tatu litakuwa na vipengele saba (07). Kilakipengele kitakuwa na alama 02. Mwanafunzi atatakiwa10

ama kupanga vitu au hoja atakazopewa katika mpangiliosahihi, au kujibu maswali mafupi yatokanayo na kifungucha habari au umahiri aliojifunza. Swali la nne litakuwa navipengele vinne (04) kila kipengele kitakuwa na alama 02.Mwanafunzi atatakiwa kujibu maswali kutoka katika picha,michoro, kielelezo au ramani. Sehemu hii itakuwa najumla ya alama 22.6.0VIWANGO VYA KUFAULUViwango vya kufaulu vitakuwa hafifu, wastani, vizuri na vizurisana kulingana na alama atakazopata mwanafunzi husika katikakila umahiri kama ilivyooneshwa katika Jedwali Na. 3.11

04 HISABATI1.0UTANGULIZIFomati hii ya somo la Hisabati imetayarishwa kwa kuzingatiamuhtasari wa Elimumsingi wa mwaka 2016 ulioanza kutumikamwaka 2017. Fomati hii ina lengo la kupima umahiri katika viwangovya utendaji kwa wanafunzi wa Darasa la Nne kama ilivyoainishwakatika Muhtasari.2.0MALENGO YA JUMLAMalengo ya upimaji ni kupima uwezo wa mwanafunzi katika:2.1 kutumia lugha ya kihisabati katika mawasiliano.2.2 kufikiri kimantiki katika kuhakiki taarifa mbalimbali.2.3 kutatua matatizo katika mazingira tofauti.2.4 kujijengea ari ya kupenda kutumia maarifa na mantiki za stadiza hisabati kwa ajili ya maendeleo yake na jamii.2.5 kukuza uwezo binafsi wa kiakili katika stadi za Kusoma,Kuandika na Kuhesabu (KKK).3.0UMAHIRI MKUUUpimaji kwa kutumia Muhtasari wa somo la Hisabati Elimumsingiutazingatia umahiri na ujuzi wa mwanafunzi katika:3.1 kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo/hoja(sehemu ya kwanza).3.2 kufikiri na kuhakiki katika maisha ya kila siku (sehemu yakwanza)3.3 kutatua matatizo katika mazingira tofauti.3.4 kufikiri na kuhakiki katika maisha ya kila siku (sehemu ya pili).3.5 kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo/hoja(sehemu ya pili).12

4.0UMAHIRI MAHSUSIUpimaji utapima hasa uwezo wa mwanafunzi katika:4.1 kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti.4.2 kutumia stadi za mpangilio katika maisha ya kila siku.4.3 kutumia matendo ya namba ya kihisabati katika kutatuamatatizo.4.4 kutumia stadi ya uhusiano wa namba na vitu katika miktadhambalimbali (fedha na wakati).4.5 kutumia stadi za maumbo katika muktadha wa hisabati.4.6 kutumia stadi za vipimo katika miktadha mbalimbali.4.7 kutumia stadi za takwimu kuwasilisha taarifa mbalimbali.5.0MUUNDO WA KARATASI YA UPIMAJIKaratasi ya upimaji itakuwa na maswali matano (05) ambapo kilaswali litakuwa na vipengele vitano (05). Aidha, kila swali litatokakwenye umahiri mahsusi mmoja. Swali la kwanza litahusu kutumiadhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti. Swali la pililitahusu kutumia stadi ya mpangilio katika maisha ya kila siku. Swalila tatu litahusu kutumia matendo ya namba au stadi ya uhusiano wanamba na vitu katika muktadha wa fedha na wakati. Swali la nnelitahusu kutumia stadi ya vipimo au stadi ya maumbo. Swali la tanolitahusu kutumia stadi ya takwimu kuwasilisha taarifa mbalimbali. Kilakipengele katika maswali yote kitakuwa na uzito wa alama mbili nakufanya jumla ya alama hamsini (50). Muda wa kufanya upimajiutakuwa saa 1:30 ambapo wanafunzi wasioona watafanya upimajikwa muda wa saa 1:45.6.0VIWANGO VYA KUFAULUMwanafunzi atapimwa kuwa na viwango vya kufaulu kwa kutumiavigezo vifuatavyo:6.1 Mwanafunzi atakuwa na umahiri hafifu iwapo hatajibukipengele chochote au kujibu kwa usahihi kipengele kimoja tukwa kila swali.13

6.2 Mwanafunzi atakuwa na umahiri wa wastani iwapo atajibukwa usahihi vipengele viwili hadi vitatu (2 – 3) kwa kila swali.6.3 Mwanafunzi atakuwa na umahiri mzuri iwapo atajibu kwausahihi vipengele vinne (4) kwa kila swali.6.4 Mwanafunzi atakuwa na umahiri mzuri sana iwapo atajibukwa usahihi vipengele vitano (5) kwa kila swali.Ufafanuzi zaidiJedwali Na. 4.kuhusuviwango14vyakufauluupokatika

05 SAYANSI NA TEKNOLOJIA1.0UTANGULIZIFomati hii ya upimaji wa somo la Sayansi na Teknolojia inatokanana Muhtasari wa somo la Sayansi na Teknolojia wa mwaka 2016ambao ulizingatia mhamo wa ruwaza. Muhtasari huo ulianzakutumika mwaka 2017. Fomati hii imezingatia malengo ya Upimajiwa Elimu ya Msingi Darasa la Nne ikiwa ni pamoja na kufuatiliakiwango cha ujifunzaji wa wanafunzi wa Darasa la Nne katika somola Sayansi na Teknolojia.Fomati hii imeingiza mabadiliko ya msingi ya kupima ujuzi, stadi namielekeo mbalimbali aliyojifunza mwanafunzi. Hivyo inatofautiana naya awali, ambayo iliweka mkazo katika kupima namna mwanafunzialivyomudu maudhui ya mada zilizoainishwa katika muhtasari.Aidha, upimaji utapima jinsi mwanafunzi anavyoweza kutumia ujuzialiopata katika kutatua matatizo ya msingi katika mazingiraanayoishi. Matatizo hayo ni pamoja na changamoto zinazotokana naujinga, maradhi na umaskini.2.0MALENGO YA JUMLAUpimaji unalenga kupima uwezo wa mwanafunzi katika:2.1 kutumia maarifa, stadi na kuwa na mwelekeo wa kisayansi nakiteknolojia.2.2 kutumia sayansi na teknolojia kutatua matatizo katika maishaya kila siku.2.3 kutumia vifaa mbalimbali vya teknolojia.3.0UMAHIRI MKUUKwa ujumla, upimaji unalenga kupima umahiri wa mwanafunzikatika:3.1 kufanya uchunguzi na ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia.3.2 kufahamu misingi ya sayansi na teknolojia.3.3 kutunza afya na mazingira.15

4.0UMAHIRI MAHUSUSIUpimaji unalenga kupima umahiri wa mwanafunzi katika:4.1 kufanya uchunguzi wa vitu katika mazingira.4.2 kutambua na kutumia aina mbalimbali za nishati.4.3 kutambua nadharia za kisayansi na kiteknolojia.4.4 kutumia TEHAMA.4.5 kumudu stadi za kisayansi.4.6 kufanya majaribio ya kisayansi.4.7 kutumia kanuni za usafi ili kutatua matatizo ya magonjwa.4.8 kutumia kanuni za usafi ili kujenga afya bora.4.9 kutambua mifumo mbalimbali ya mwili wa binadamu.5.0MUUNDO WA UPIMAJIUpimaji utakuwa na sehemu A na B zenye jumla ya maswalimatano (5). Mwanafunzi atatakiwa kujibu maswali yote. Jumla yaalama itakuwa ni hamsini (50). Muda wa kufanya upimaji utakuwasaa 1:30 ambapo wanafunzi wasioona watafanya upimaji kwa mudawa saa 1:45.5.1 SEHEMU ASehemu hii itakuwa na maswali matatu (3). Kila swali litakuwana vipengele vitano (5). Swali la 1 litakuwa la kuchagua jibusahihi ambapo mwanafunzi atatakiwa kuchagua jibu sahihi katiya chaguzi A, B, C na D. Swali la 2 litakuwa la kuoanishaambapo mwanafunzi atatakiwa kuoanisha dhana mbalimbali zakisayansi kutoka kundi A na majibu kutoka kundi B. Swali la 3litakuwa la kujaza nafasi ambapo mwanafunzi atatakiwakuchagua jibu moja sahihi kati ya majibu yatakayokuwakwenye kisanduku na kuliandika katika nafasi aliyopewa. Kilakipengele katika maswali yote kitakuwa na uzito wa alamambili (2), hivyo kufanya jumla ya alama katika sehemu hii kuwathelathini (30).16

5.2 SEHEMU BSehemu hii itakuwa na maswali mawili (2) ya majibu mafupi,swali la 4 na 5. Kila swali litakuwa na vipengele vitano (5).Maswali yatapima uwezo wa mwanafunzi katika kumudu dhanana stadi mbalimbali za sayansi na teknolojia. Katika swali la 4mwanafunzi atatakiwa ama kusoma kifungu cha habari kishakujibu maswali yatakayotokana na kifungu hicho; au kupangiliakanuni, dhana au masharti mbalimbali ya kisayansi ili kuletamtiririko wenye mantiki. Katika swali la 5 mwanafunzi atatakiwakuandika majibu mafupi kutokana na michoro au pichambalimbali zinazohusu dhana za sayansi na teknolojia.6.0VIWANGO VYA KUFAULUViwango vya kufaulu vitakuwa hafifu, wastani, mzuri na mzuri sanakutegemea umahiri atakaokuwa amepata mwanafunzi kamailivyofafanuliwa katika Jedwali Na. 5.17

06 URAIA NA MAADILI1.0UTANGULIZIFomati hii inatokana na muhtasari mpya wa somo la Uraia naMaadili uliotolewa mwaka 2016 na kuanza kutumika mwaka 2017.Fomati hii inazingatia malengo ya mtaala wa Uraia na Maadiliambayo ni pamoja na kumjengea mwanafunzi tabia inayokubalikaya kuheshimu jamii, kuthamini jamii, uwajibikaji, ustahimilivu, uadilifupamoja na kudumisha amani.Upimaji utazingatia viwango vya utendaji wa mwanafunzi ili kubainimaarifa, stadi na mwelekeo walio nao wanafunzi katika kufikiaumahiri mahsusi ulioainishwa katika muhtasari wa Uraia na Maadili.Umahiri katika dhana mbalimbali utapimwa kama ilivyooneshwakatika Jedwali la Mwongozo wa Upimaji lililoambatanishwa na fomatihii.2.0MALENGO YA JUMLAUpimaji wa Uraia na Maadili unalenga kupima uwezo wa wanafunzikatika:2.1 kuelewa asasi na taasisi za kisiasa na za kijamii na kazi zakekatika utawala wa kidemokrasia.2.2 kutafsiri, kutathmini na kuheshimu vitambulisho vya taifa,katiba, muundo na uendeshaji wa serikali.2.3 kuelewa misingi ya demokrasia katika shughuli za utawala nauongozi.2.4 kutambua wajibu wao, kuheshimu na kutetea haki za binadamuna usawa wa sheria.2.5 kuelewa na kushiriki katika shughuli za utawala, uongozi nausalama wa taifa katika jamii wanamoishi.2.6 kubuni na kuchambua matatizo ya kisiasa, kiuchumi na kijamiina mbinu za kuyatatua.2.7 kutambua tofauti baina ya watu zitokanazo na itikadi na halizao na kujenga uvumilivu kutokana na tofauti hizo.2.8 kujenga moyo wa umoja wa kitaifa na ushirikiano baina ya jamiiza kitanzania na baina ya jamii za mataifa mengine; na2.9 kuishi kwa kutumia elimu ya masuala mtambuka.18

3.0UMAHIRI MKUUUpimaji wa somo la Uraia na Maadili katika Darasa la Nne unalengakubaini umahiri wa mwanafunzi katika:3.1kuheshimu jamii.3.2kuithamini jamii.3.3kuwa mwajibikaji.3.4kuwa mstahimilivu.3.5kuwa mwadilifu; na3.6kudumisha amani.4.0UMAHIRI MAHSUSIUpimaji wa somo la Uraia na Maadili katika Darasa la Nne unalengakupima umahiri wa mwanafunzi 4.144.154.164.174.184.194.20kujipenda na kuwapenda watu wengine.kuipenda na kujivunia shule yake.kuipenda Tanzania kwa kuenzi tunu za nchi na asili yake.kujijali na kuwajali wengine.kutunza mazingira na vilivyomo.kujenga uhusiano mzuri na watu wengine katika jamii.kulinda rasilimali na maslahi ya nchi.kusimamia majukumu yanayomhusu ya nyumbani na shuleni.kutii sheria na kanuni katika kutekeleza majukumu yake yakila siku.kuwa na nidhamu binafsi.kushirikiana katika kutekeleza majukumu ya nyumbani nashuleni.kuvumilia katika maisha ya kila siku.kufikia malengo aliyojiwekea kwa kuwa na mtizamo chanya.kujifunza kwa kuchanganua mambo kiyakinifu.kuaminika katika jamii.kutimiza majukumu yake kwa uwazi na ukweli.kusimamia haki.kuchangamana na watu wenye asili tofauti.kuheshimu tofauti za kiutamaduni na mitizamo miongoni mwawatu wa jamii tofauti; nakujenga urafiki mwema na mataifa mengine.19

5.0MUUNDO WA KARATASI YA UPIMAJIUpimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utakuwa na karatasi mojayenye maswali sita (6) yenye jumla ya vipengele 25yatakayogawanywa katika sehemu A na B. Kila kipengele kitakuwana alama mbili (2), hivyo, jumla ya alama zitakuwa 50. Muda wakufanya upimaji utakuwa saa 1:30. Aidha, wanafunzi wasioonawatafanya upimaji kwa muda wa saa 1:45.6.0VIWANGO VYA KUFAULUViwango vya kufaulu vitakuwa Hafifu, Wastani, Vizuri na VizuriSana kulingana na alama watakazopata wanafunzi husika katika kilaumahiri kama inavyooneshwa katika Jedwali Na. 6.20

JEDWALI NA 1: MWONGOZO WA UPIMAJI WA SOMO LA KISWAHILINa.1.UmahiriMkuuUmahiriMahsusiVigezo mbua sautimbalimbalikatika matamshiya silabi,maneno,sentensi nahabari fupi.Uwezo wamwanafunzikatikakusikilizamatamshi yasilabi,maneno,sentensi nahabari fupi.(kuandikaimla).kutaja nenomojalinalobebamaana yajumla kwausahihi.Kuanzisha nakuendelezamazungumzokatika miktadhambalimbali.(i) Kutaja nenolinalobebamaana yajumla.(ii) Kutega nakuteguavitendawili.Uwezo wamwanafunziwa kutega nakuteguavitendawili.Upimaji wa Viwango vya KufauluKiwangohafifuKutokuandika/kuandika kwausahihi neno 1hadi maneno 5kwa sentensizote 5(alama 0021/2).Kutokutaja/kutaja neno 1linalobebamaana yajumla(alama li 121Kiwango chawastaniKuandika kwausahihimaneno 6hadi 12 kwasentensi zote5 (alama 0306).KiwangokizuriKuandika kwausahihimaneno 13hadi 19 kwasentensi zote 5Kutajamaneno 2-3yanayobebamaana yajumla (alama04-06).Kutaja maneno4 yanayobebamaana yajumlaKutegua/kutegavitendawili 2-3(alama 0406).Kutegua/kutegavitendawili 4(alama 08).Kiwango kizurisanaKuandika kwausahihi manenoyote 20(alama 10).(alama 061/2091/2).(alama 08).Kutaja manenoyote 5yanayobebamaana ya jumla(alama 10).Kutegua/kutegavitendawilivyote 5 (alama10).

Na.UmahiriMkuuUmahiriMahsusi(iii) Kufafanuaujumbeuliomokwenyemethali.(iv) Kuelezamaana zanahau zilizoorodheshwa.(v) Kuelezeawatu kwakuzingatiashughuli zao.(vi) Kukanushamatukio yanyakatiVigezo VyaUpimajiUwezo wamwanafunzikufafanuaujumbeuliomokwenyemethali kwausahihi.Uwezo wamwanafunziKuelezamaana zanahauzilizoorodheshwa kwausahihi.Uwezo wamwanafunzikuelezeawatu kwakuzingatiashughuli zaokwa usahihi.Uwezo wamwanafunziKukanushaUpimaji wa Viwango vya KufauluKiwangohafifu(alama 0-02).Kutokufafanua/kufafanuaujumbe uliomokwenyemethali 1(alama 0-02).KiwangokizuriKiwango kizurisanaKufafanuaujumbeuliomokwenyemethali 2-3(alama 0406).Kufafanuaujumbe uliomokwenyemethali 4(alama 08).Kufafanuaujumbe uliomokwenye methalizote 5 (alama10).Kutokueleza/kueleza maanaya nahau 1(alam

wa somo la Kiswahili wa mwaka 2016 ulioanza kutumika Januari 2017, ambao ulizingatia muhamo wa ruwaza. Aidha, fomati hii imezingatia malengo ya Upimaji wa Elimu Msingi Darasa la Tatu na Darasa la Nne ambayo ni pamoja na kufuatilia kiwango cha ujifunzaji wa wanafunzi wa Darasa la Tatu na Darasa la Nne katika somo la Kiswahili.

Related Documents:

vitabu vya kufundishia stadi za KKK ikilinganishwa na taarifa kuhusu uwepo wa vifaa hivyo katika upimaji wa KKK 2017. Kwa upande wa mahudhurio, kiwango cha utoro kimepungua toka asilimia 86.5 katika upimaji wa 2017 hadi asilimia 68.6 katika upimaji wa mwaka 2018, jambo linaloonesha kuwa juhudi za makusudi zilifanyika za uwepo wa wanafunzi shuleni.

Awali ya yote, NECTA inaishukuru kwa dhati Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WEST), Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) pamoja na wabia wa maendeleo hususan DF

i UTHIBITISHO Aliyeidhinisha hapa chini anathibitisha kwamba ameisoma tasnifu hii inayoitwa ; "Upimaji wa ufahamu wa kiswahili kama lugha ya kufundishia shule za msingi : mifano kifani toka halmashauri ya wilaya ya Geita", na ameridhika kwamba imefikia kiwango kinachotakiwa na inafaa kuwasilishwa kwa ajili ya

na Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia. Kitabu hiki kimeandaliwa kwa ajili ya mitihani ya masomo 16 ya Ualimu Elimu Maalum ngazi ya Astashahada. Kati ya masomo hayo, matano ni ya fani ya Ulemavu wa Uoni, manne Uziwi na Ulemavu wa Akili na Usonji masomo manne. Pamoja na masomo hayo, ku

hizi, ulizingatia Mipango Mikuu ya Kitaifa ikiwemo Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2015 - 2020, MKUZA, pamoja na Mpango Mkakati wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. 2.1 UPATIKANAJI WA FEDHA 15. Mheshimiwa Spika, mwaka wa fedhakwa 2017/2018, Ofisiya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ilitengewa jumla ya TZS .

Huu ni mkusanyiko wa insha zinazohitaka katika mtaala wa elimu nchini Kenya hasa kwa wanafunzi wanojiandaa kwa mtihani wa kitaifa wa KCSE. Insha hizi zinafaa kutumiwa na mwalimu katika kuwaelekeza wanafunzi wanapofanya kazi yao ya kudurusu na wakati mwingine wanaposoma vipindi vya uandishi katika somo la Kiswahili. Martin Otundo (PhD fellow-

Page 1 of 9 TEN/MET – UWEZO Matokeo ya Mwaka ya Upimaji wa kujifunza Machi 2010 Fomu ya Utafiti Shuleni (Kama kuna shule zaidi ya moja katika kijiji au mtaa, kusanya taarifa kutoka

tourism using existing information due to the subjective scope of the sector and a resultant lack of comparable data. However, a small number of studies which include aspects of outdoor activity tourism as defined for this study, as well as wider tourism research offer an insight into the market. These are discussed below. An economic impact study of adventure tourism (including gorge walking .