Mtihani Wa Pamoja Wa Shule Za Upili Wilayani Makindu, 2014

1y ago
11 Views
2 Downloads
523.48 KB
9 Pages
Last View : 15d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Ronnie Bonney
Transcription

JINA . . TAREHE NAMBA YAKO . . . SAHIHI .102/2KISWAHILI: LUGHA(Ufahamu, Ufupisho, Matumizi ya Lugha na Isimu Jamii)KARATASI YA 2JULAI /AGOSTI, 2014MUDA: SAA 2½MTIHANI WA PAMOJA WA SHULE ZA UPILI WILAYANI MAKINDU, 2014Kenya Certificate of Secondary Education (K.C.S.E)MAAGIZO KWA MTAHINIWAJibu maswali yote.Majibu yote yaandikwe katika nafasi zilizoachwa katika kijitabu hiki cha maswali.Karatasi hii ina kurasa nane. Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwachapa sawasawa na kuwa maswali yote yamoKWA MATUMIZI YA MTAHINI PEKEESWALI1UPEO15215340410JUMLA80ALAMAMA 2014, Makindu District Inter – Secondary Schools Examination102/2Kiswahili: Lugha(Ufahamu, Ufupisho, Matumizi ya Lugha na Isimu Jamii)Karatasi ya 2E-resources available online at www.schoolsnetkenya.com / Email: infosnkenya@gmail.com / Tel.: 254202319748

102/2 Kiswahili karatasi ya pili1. UFAHAMUSoma makalama yafuatayo kisha ujibu maswali.Nimekaa na kutafakari kwa kipindi kirefu, juu ya mabilioni ya pesa ambayo yametengwa na serikaliili kudhamini miradi ya maendeleo ya wanawake. Kina mama au wanawake wengi wanakiri na kusemakwamba fedha hizo zimewezesha kuwaondoa katika lindi la unyanyasaji kutoka kwa waume zao.Kwanikila mmoja anamheshimu mwenzake kwa sababu ya kipato alicho nacho. Wengi wameweza kuanzabiashara ndogondogo ambazo huwaletea angaa kipato kidogo.Ukweli ni kwamba fedha hizi zimesaidia kuwatoa wanawake wengi katika unyanyasaji,kwani wengiwanaweza kuanzisha kazi za ujasiriamali na hata kuendesha shughuli mbaimbali za maendeleo.Kutokana na mafanikio haya, wabunge waliopitisha hoja bungeni za kuanzisha mpango huu wakuwakwamua wanawake kimaendeleo wanafaa kupongezwa. Mafanikio haya yamewafanya akinamama kujikimu kimaisha na hivyo kutowategemea wanaume katika kila jambo.Ukitaka kujua ukweli kuhusu hili, nenda kwenye masoko utaona akina mama jinsi wanavyohangaikana biashara zao. Kwa hivyo, ujasiriamali huendelezwa na akina mama zaidi na hivyo wanapaswakuwezeshwa kwa hali na mali.Akina mama pia wanafaa kupongezwa kwani wameamua kujitosa kukopa fedha kutoka kwenyetaasisi mbalimbali za fedha. Fedha hizo kwa kiwango kikubwa zimewainua kutoka katika ufukarauliokithiri hadi katika maisha ya heshima.Wale ambao hawajajaribu kuchukua mikopo, ni muhimuwafanye hivyo ili wajikimu kimaisha.Maisha ya sasa ni magumu, hivyo yanahitaji kusaidiana kwa kila hali na mali.Wanaume kwawanawake ni vyema wachange bia ili wazumbue riziki.Ushirikiano utarahisisha maisha yao. Hata hivyo,sio tu akina mama hao wameondokewa na unyanyasaji waliokuwa wakiupata ndani ya nyumba zao, tokakwa akina baba, bali hata masualama ya mrundikano wa kesi za kugombea ardhi kwa akina mama,zimepungua. Sababu ni kwamba akina mama wengi wameweza kujitafutia ardhi wenyewe kwa fedhawalizonazo.Ukweli ni kwamba hali imebadilika. kinyume na hapo awali, ambapo majumba ya kifahari namashangingi yalikuwa hifadhi ya wanaume, siku hizi wanawake wanamiliki hayo yote.Maswali1. Taja dhamira mbili za makalama haya.(alama 2).E-resources available online at www.schoolsnetkenya.com / Email: infosnkenya@gmail.com / Tel.: 254202319748

102/2 Kiswahili karatasi ya pili2. Eleza ni kwa nini msimulizi anawapongeza wabunge(alama 2).3. Wanaume walikuwa wakirudisha nyuma maendeleo nchini kivipi?(alama 2).4. Sera za serikali zimesaidia wanawake kivipi?(alama 3).5. Eleza kwa nini baadhi ya wanawake wanaishi katika lindi la umaskini kulingana na makalama haya.(alama 3).6. Eleza maana ya msamiati na mafungu yafuatayo kama yalivyotumika katika makalama haya(alama 3)a) Kutafakari.b) Kuwaondoa katika lindi la unyanyasaji.c) Riziki.2. UFUPISHOKatika karne hii na ya kesho, urafiki ni ngome kuu duniani ambayo huhifadhi maslahi ya kila rafiki.Rafiki mwema humpenda mwenzake si kwa sababu ni tajiri ama ana cheo kikuu nchini. Rafikimwadilifu huridhika na hali aliyonayo rafikiye; akiwa tajiri au maskini, ana cheo, hana.Rafiki mwemahuwa mwadilifu wakati wowote.Wakati wa neema hushirikiana na rafikiye katika furaha na wakati washida hushirikiana naye katika huzuni na taabu zote zinazomkabili.E-resources available online at www.schoolsnetkenya.com / Email: infosnkenya@gmail.com / Tel.: 254202319748

102/2 Kiswahili karatasi ya piliSahibu mwema hutoa alichonacho kumkomboa rafiki yake, huwa radhi kabisa kufilisika kwa ajaliyake. Mahali pa finyo hujasiri kuingia ili kumkomboa rafiki yake, hushughulika zaidi kuliko wanandugu wa toka nitoke. Kwa vyovyote hula naye tamu na chungu pamoja, mkono kwa mkono katikamaisha yao yote hadi mmoja wao akaitoka dunia. Urafiki wa namna hii ndio uletao baraka ya Mungu,kuwashukia viumbe hao kama umande wa asubuhi.Urafiki ni lazima sana katika maisha ya wanadamu. Urafiki ni mfano wa mishipa ipitishayo damumwilini ili kurutubisha kila sehemu ya mwili. Ingawa ni bora kuwa na marafiki wengi lakini kilamarafiki wanapozidi, ni hatari kuangukia kwenye marafiki wadanganyifu-hasidi. Pasi na shaka, ni herimaadui kuliko marafiki wadanganyifu.Hivyo basi tukiwa na rafiki walio kinyume cha wema na upole wakulinda haki za wanadamu na wasiomcha Mungu ni lazima tuwaepuke. Ingawa ni hivyo vile vile sheriainatukataza tusisikilize na kujali ubaya wa mtu yeyote pasipo kuhakikisha.Huenda ikawa ni uvumi tuusiokuwa na msingi wowote. Ikiwa rafiki ni mbaya, hakosi atajulikana kwani mtungi mbovu haukawiikuvunjika.Lazima tuwapende watu wote ili kutimiza haki za kibinadamu na kuchukuia matendo maovu.Rafiki waouvu si vema kuwaacha katika maangamizi ya ubaya wao bali ni lazima tuwaambie waziwaziili wapate kuongoka. Ukimsamehe rafiki, unaponya donda lake moyoni. Hivyo ni bora kulikokumtazama na hali anazidi kukosa.Maswalia) Kwa maneno yasiyozidi 60, fupisha aya ya kwanza na ya pili.(alama 7)Nakalama chafu.Nakalama safi.E-resources available online at www.schoolsnetkenya.com / Email: infosnkenya@gmail.com / Tel.: 254202319748

102/2 Kiswahili karatasi ya pili.b) Ni muhimu kuwa na rafiki na marafiki na kuwachangua kwa umakinifu. Kwa kurejelea aya ya tatu,thibitisha kauli hii. (maneno kati ya 50-55)(alama 5)Nakalama chafu.Nakalama safi.3. MATUMIZI YA LUGHA (Alama 40)1. Tungia neno lifuatalo sentensi(alama 1)Wa‟lakini.2. Taja sifa tatu za sauti ifuatayo th (alama 3).E-resources available online at www.schoolsnetkenya.com / Email: infosnkenya@gmail.com / Tel.: 254202319748

102/2 Kiswahili karatasi ya pili3. Onyesha mzizi katika neno machweo(alama 2).4. Andika katika ukubwa(alama 2)Mke wa mzee huyu hupenda watoto sana.5. Fakinisha(alama 2)Kama Otoyo haji mwalimu hatasahihisha kazi.6. Tunga sentensi sahili mbili kubainisha matumizi mawili tofauti ya „po‟(alama 2).7. Eleza matumizi mawili ya koloni na utoe mfano kwa kutunga sentensi(alama 2).8. Unda nomino mbili kutokana na kitenzi kinai(alama 2).9. Tunga sentensi kudhihirisha ngeli ya KU(alama 1).10. Bainisha yambwa katika sentensi ifuatayo(alama 2)Askofu aliandikiwa barua na waumini.11. Bainisha virai katika sentensi(alama 2)Chake chote kilivunjika vibaya sana.12. Changanua kwa matawiIbada ya wafu iliyofanyika jana usiku ilisababisha kilio kingi.(alama 4).E-resources available online at www.schoolsnetkenya.com / Email: infosnkenya@gmail.com / Tel.: 254202319748

102/2 Kiswahili karatasi ya pili.13. Tunga sentensi moja kutofautisha „thibiti‟ na „dhibiti‟(alama 2).14. Andika katika usemi wa taarifa(alama 2)“Aisee! yale mawimbi ya tsunami yaliangamiza biashara nyingi sana” alisema Koinange.15.i) Mofimu ni nini?(alama 1).ii) Taja aina mbili za mofimu na kwa kila aina utoe mfano.(alama 2).16. Andika katika hali ya mazoea kwa kutumia kirejeshi mwafaka(alama 2)Mtoto ambaye hula lishe bora ndiye hukua nyema.17. Andika kinyume(alama 2)Wanaskauti wengi walivunja kambi jana asubuhi.18. Tungia kitenzi kishirikishi kipungufu sentensi.(alama 1).19. Tumia mzizi-enye katika sentensi kama kiwakilishi(alama 2)E-resources available online at www.schoolsnetkenya.com / Email: infosnkenya@gmail.com / Tel.: 254202319748

102/2 Kiswahili karatasi ya pili.20. Bainisha matumizi ya “ndi” katika sentensi ifuatayo.Tumbo lake ndilo linaloguruma(alama 1).4. ISIMU JAMII (ALAMAMA 10)Eleza sababu za vijana kutumia lugha ya sheng‟(alama 10).

MTIHANI WA PAMOJA WA SHULE ZA UPILI WILAYANI MAKINDU, 2014 Kenya Certificate of Secondary Education (K.C.S.E) MAAGIZO KWA MTAHINIWA . Urafiki wa namna hii ndio uletao baraka ya Mungu, kuwashukia viumbe hao kama umande wa asubuhi. Urafiki ni lazima sana katika maisha ya wanadamu. Urafiki ni mfano wa mishipa ipitishayo damu

Related Documents:

ya Machipuko Si siku ya shule Aprili 04/12 na 04/13 Mtihani wa SAT & ACT WorkKeys Wanafunzi wa Vidato vya Chini pekee A.M. Wanafunzi Wote wa HS P.M. Shule ya Msingi ya Siku Nzima Mei 05/11 Hakuna Shule 05/20 Siku ya Mwisho ya Shule ya 1 Wanafunzi wa Vidato vya Juu 05/27 Siku Nusu (Shule ya Msingi) 05/30 Sikukuu ya Makumbusho - Hakuna Shule Juni

MTIHANI WA PAMOJA WA SHULE ZA EKSIKA Hati ya kuhitimu kisomo cha sekondari Kenya(K.C.S.E) MAAGIZO: a) Jibu maswali yote. b) Andika majibu yote katika nafasi zilizoachwa. c) Karatasi hii ina alama 30. d) Hakikisha kurasa zote zimepigwa chapa. Swali Upeo Alama Ufahamu 15 Ufupisho 15 Lugha 40 Isimu Jamii 10 Jumla 80

Pamoja na taasisi zilizotajwa kuna shule shikizi (satellite schools) 44 ambapo kila halmashauri ina shule za namna hiyo ambazo baadaye zitakuwa shule kamili. . Kwa mkoa wa Lindi mtihani huu umefanyika katika shule 480 zenye jumla ya wanafunzi 17,519 wakiwemo wavulana 8,117 na wasichana 9,402 katika halmashauri 6 za mkoa wa Lindi. Aidha .

MTIHANI WA PAMOJA -MECS 2021 Jina: _ Nambari ya mtahiniwa:_Darasa: _ Tarehe: _ Sahihi: _ 102/2 Kiswahili Karatasi ya 2 Muhula wa Pili - 2021 Muda: Saa 2½ . kweli kwamba sera ya elimu bila malipo katika shule za msingi nchini humu inaendelea kutekelezwa. Hata hivyo, asilimia ya watoto na hata watu wazima wasiojua kusoma na .

3. Uongozi wa Shule wanahaki ya kumfukuza mwanafunzi ambaye hajafika wastani unaotakiwa kwa kiwango cha Shule au tabia yake haiendani na mwenendo wa shule. 4. Nafasi ya BWENI inatolewa kwa wavulana na wasichana. 5. Wanafunzi wa KUTWA wanakaribishwa, Ada ya Shule kwa wanafunzi wa kutwa wasiotumia usafiri ni shilingi 930,000/ kwa mwaka. 6.

JARIBIO LA TATHMINI YA PAMOJA MTIHANI WA CEKENAS MUHULA WA PILI MWAKA 2015 Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari KISWAHILI INSHA KARATASI YA KWANZA MUDA: SAA 1 ¾ MAAGIZO 1. Andika insha mbili. 2. Insha ya kwanza ni ya lazima. 3. Chagua insha nyingine moja kutoka hizo tatu zilizosalia. 4. Kila insha isipungue maneno 400 5. Kila insha ina alama 20.

Vitambulisho vya mtihani kwa Wanafunzi wa lugha ya kiingereza ( NYSITELL ). Madhumuni ya NYSESLAT ni kwa mwaka kutathmini ustadi na ngazi za lugha ya Kiingereza ELLs / MLLs waliojiunga na darasa K-12 katika shule za Jimbo la New York . Mtihani ina serikali, shule, wazazi, peya walimu taarifa muhimu na

1 Introduction Formal ontologies provide a conceptual model of a domain of interest by describing the vocabulary of that domain in terms of a logical language, such as a description logic (DL). To cater for different applications and uses of ontologies, DLs and other ontology languages vary significantly regard-ing expressive power and computational complexity (Baader et al. 2003). For .